Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Hii sekta ya madini inaweza ikaajiri vijana wote zaidi ya 60%.Inatakiwa serikali iandae mitaala ya uchimbaji madini toka elimu ya msingi,KILA mkoa kuna madini yanaoza tu wageni ndo unufaika nayo
 
Hii sekta ya madini inaweza ikaajiri vijana wote zaidi ya 60%.Inatakiwa serikali iandae mitaala ya uchimbaji madini toka elimu ya msingi,KILA mkoa kuna madini yanaoza tu wageni ndo unufaika nayo

Elimu yote kwa vijana iwajenge Wanawake, Wanaume kujiajiri.

Kutumia na kuwapa rasilimali karibu na mipaka yao kupambana, kuyathibiti na kufanikiwa kimaisha.

Haiwezekani uzungukwe migodi yote muhimu Duniani uendelee kuwa Maskini wa kutupwa.
 
Elimu yote kwa vijana iwajenge Wanawake, Wanaume kujiajiri.

Kutumia na kuwapa rasilimali karibu na mipaka yao kupambana, kuyathibiti na kufanikiwa kimaisha.

Haiwezekani uzungukwe migodi yote muhimu Duniani uendelee kuwa Maskini wa kutupwa. Watu
Watawala uogopa kuongoza watu walioshiba
 
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.

Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.

Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.

Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyo.

Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.

Pole Biteko, Ila kwa heri.

Lema amekuwa mswahili swahili utafikiri anaishi Tandale.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Biteko ataendela kuwepo sana tu! Yaani Huyu mama kama atakurupuka tena kama alivokurupuka kumtoa Kalemani nishati shauri yake! Watu wanachuki na Magufuli na watu wake! Inamaan waziri haruhusiwi kufanya biashara ya madini!

Ndo maana mnaambulia kutoa mawaziri kwa mihemuko ma chuki mnaweka mazuzu! Hivi suala hata la umeme nchi nzima athari yake ni kubwa sana!
Watanzania tuna imani na SSH. Huo ndo ukweli. Hutaki unaacha. Nchi iliendeshwa kihunu sana awamu ya 5. Maofisini mzinza, msukuma au mnyamwezi hata kama alikuwa mtunza masijala alipewa ukuu Wa idara so long ni wa Kanda Ile. Shenzi Sasa tuheshimiane mjini.
 
Huyu wanadai alikuwa mwalimu! Yaani utoke ualimu upewe wizara nyeeti ya madini kweli???
Kama kazingua apigwe chini haijalishi kandayake kulalamika wanaezuliwa paani!!
 
Watanzania tuna imani na SSH. Huo ndo ukweli. Hutaki unaacha. Nchi iliendeshwa kihunu sana awamu ya 5. Maofisini mzinza, msukuma au mnyamwezi hata kama alikuwa mtunza masijala alipewa ukuu Wa idara so long ni wa Kanda Ile. Shenzi Sasa tuheshimiane mjini.

Alikuwa sehemu ya nchi kuendeshwa kihuni. Kupata Madaraka.
 
Back
Top Bottom