Sema Yericko Nyerere ana maneno ya kukera sana 😄😄😄😄Siasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224
Anawagonga misumari balaaSema Yericko Nyerere ana maneno ya kukera sana 😄😄😄😄
Kwahiyo Yeriko LEMA ndolio Fate determinant wake??🤔🤔🤣🤣🤣Siasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224
Na hiyo akaunti ya Lema ni fakeLema ana marafiki wengi tu ndani ya ccm. Lkn pia siyo ajabu Kitila Mkumbo kupongezwa na Lema kwakuwa awali Mkumbo alikuwa chadema
Akaunti fakeKampongeza kwa lipi?
Maana ukisoma ni kama wanajuana wao kitu ambacho Godi anapongeza
Lema kapoteza ushawishi kabisaSiasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224
Tatizo kubwa wengi tunaona kama kuwa upinzani ni uadui au kuwa na rafiki na mtu wa chama tawala ni msaliti. Sisi sote ni ndugu ila kila mmoja wetu ana mawazo tofauti na mwenzio na pia ana mapenzi ya itikadi ya chama flani. Haya yote yasifanye undugu wetu wa miaka na miaka kugawanyika kisa kutofautiana mawazo. Tukianza kubaguana taratibu tutaanzakubaki wa chama flani baadaye itakuja wa mkoa fkani mwisho utasikia wa dini flani ambapo ni jambo baya sana. Sioni tatizo kuwa na rafiki chama tawala au chama pinzaniSiasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224
Siasa sio ugomvi sema CCM wanaitafsi hivyoSiasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224
jasusi Yericko NyerereSema Yericko Nyerere ana maneno ya kukera sana 😄😄😄😄
Nakubaliana sana na Yericko Nyerere ,angepongeza yeye yaani angekogeshwa matusi.Siasa ni mchezo ambao hutakiwi kuwa na hasira. Haya sasa, Lemma kampongeza Kitila Mkumbo na kumtakia kila la heri.
View attachment 3432224