Kapatwa na nanini hadi aisome namba?!!!!!Lizabon alikuwa anaandika vitu vya ovyo sasa anaisoma namba vilivyo sasa subiri na wewe! Muda utaongea

ACHA SIASA ZA MAJI TAKA, WEKA PICHA, LEMA NI BABA WA ARUSHA, ATAKOSAJE WATU! NEVER EVER!Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.
Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.
Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.
Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaijua Arusha hilo jua na hali ya ubaridi inayotia ukunguu ni Arusha majira ya mwezi August Wa kipupwe na sio mwezi Wa kumi au wa tisa wakati wa uchaguzi mkuu jua Kali na vumbi .isitoshe Meya asingekuwako hapo sio kata yake ya udiwani iko mbali na hapo kilomita 10Picha ya wakati wa kampeni hii 2015, acha janja hovyo hapa!!
Siku hizi katulia kweli jela/ selo ni shule!
Video ipo wapi?Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.
Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.
Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.
Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kata ya??????Lumumba mmepagawa!!!!!View attachment 568108
Atarudia ile ya zamaniDah sasa sijui atafanya kazi gani maana mpaka sasa Wahasira pamoja na uzoefu wake hana kazi ya kufanya zaidi ya kubanana na Esta!
MurietKata ya??????
Wameweka ya kampeni 2015 !
WEWE NI MZUSHI MBONA HUJAWEKA AMBAYO HAIJAEDITIWA
Kutokana na hali ya jana ya kukosa watu, leo mbunge wenu godbless lema yeye mwenyewe yupo kwenye gari la matangazo anatangaza mkutano wa leo na yupo peke yake, aibu ya mwaka.WEWE NI MZUSHI MBONA HUJAWEKA AMBAYO HAIJAEDITIWA
HUNA LOLOTEKutokana na hali ya jana ya kukosa watu, leo mbunge wenu godbless lema yeye mwenyewe yupo kwenye gari la matangazo anatangaza mkutano wa leo na yupo peke yake, aibu ya mwaka.
Watu wa Arusha wawaambie kama ni uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari bila picha ya udhibitisho ni Sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe...Kutokana na hali ya jana ya kukosa watu, leo mbunge wenu godbless lema yeye mwenyewe yupo kwenye gari la matangazo anatangaza mkutano wa leo na yupo peke yake, aibu ya mwaka.
Watu wa Arusha wawaambie kama ni uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aandike kwa kiluga chenu mkuu. Usijali ataandika
Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.