Godbless Lema akosa watu kwenye mkutano wake

Lema alikuwa ktk mikutano ya kijimbo alikuwa akijaza watu ile mbaya ktk mikutano yake. Mbona hilo hamkusema? leo labda kutokana na sababu flani imekuwa chekooooo! kweli makinikia mna kazi kweli kweli!
 
Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.

Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.

Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.

Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
hela ya ruzuku ndo hiyo inaaelekea kupungua 2020 sijui mbowe huko aliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lizabon alikuwa anaandika vitu vya ovyo sasa anaisoma namba vilivyo sasa subiri na wewe! Muda utaongea
na yuko wapi lizaboni, mudawote, jingalao na simiyu yetu siwaoni siku hizi
 
Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.

Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.

Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.

Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama alikosa watu alikuwa anahutubia mawe kuhusu kumlaumu RC na DC??
Wewe ni kanjanja wa siasa. Hapa ni jukwaa la great THINKERS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unaandika hii thread nilikua pembeni yako nikiwa nasubiri majibu ya vipimo vyangu vya Malaria wakati wewe ukiwa nakuona doctor anakuandikia ukanunue dawa za UTI!
hahahahahhahahhahhahahha dawa za UTI
 
Back
Top Bottom