Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Arusha ipi unayoizungumzia?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Gambo hata ufanyeje Lema humuwezi!
Tatizo linakuja kama kazi ya zamani inahusiana na ujambawazi!🙄Lakini mtu akikosa ubunge si huwa anarudia kazi yake ya zamani? kuna tatizo gani hapo?
Picha ya wakati wa kampeni hii 2015, acha janja hovyo hapa!!View attachment 568109 lumumba mmepagawa!
Kuna kila dalili Lizaboni anaisoma namba balaa, maana si kwa kupoooza huku. Zamani ilikuwa lazima aanzishe kati ya threads tano na kumi hapa JF kwa siku za kuisifu ccm na kuponda CDM!! Pole yake huko aliko pamoja na Diallo!!Lizabon alikuwa anaandika vitu vya ovyo sasa anaisoma namba vilivyo sasa subiri na wewe! Muda utaongea
Kawa mchicha mwiba kujiongezea kipato watoto wasife njaaKuna kila dalili Lizaboni anaisoma namba balaa, maana si kwa kupoooza huku. Zamani ilikuwa lazima aanzishe kati ya tano na kumi hapa JF za kuisifu ccm na kuponda CDM!! Pole yake huko aliko pamoja na Diallo!!
Kisu kimegonga mfupaKatika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.
Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.
Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.
Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa!!Kaumbuka mleta mada!!Kisu kimegonga mfupa![]()
kwa hiyo gambo akigombea atapata ama?Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.
Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.
Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.
Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu wameshikwa pabaya chadema wanatapatapa ovyo wananchi hawawataki tenaArusha wanaelewa kazi ya Gambo, siasa za maigizo karibuni zitakwisha,
"Pambana na hali yako"
Mna kazi kubwa lumumba mwaka huu vipi yake malori mnayobeba watu kuwapeleka kwenye mikutano yenu ya kupokonya maeneo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya jina lako kikwetu[emoji1] [emoji1] [emoji1] mtahengerwa maana yake mtaingiziwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] pole kwa kufanana akili na jina lako,mkutano nilikuwepo acha ufala wewe
Mwaka huu wameshikwa pabaya chadema wanatapatapa ovyo wananchi hawawataki tena
Sent using Jamii Forums mobile app