Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,701
Ila kwa serikali hii mwambieni asithubutu kurudia kazi yake ya zamaniHahahaaaaa,povu linawatoka!!!!Mwambie mleta mada aweke picha yake!
Ila kwa serikali hii mwambieni asithubutu kurudia kazi yake ya zamaniHahahaaaaa,povu linawatoka!!!!Mwambie mleta mada aweke picha yake!
Mmeishiwa,mnabwabwaja tu!Ila kwa serikali hii mwambieni asithubutu kurudia kazi yake ya zamani
Great Sinker...Wana moshi wanakumbuka sana viongozi wa chadema kutoka Arusha kwenda kumchangisha rambi rambi marehemu Ndesamburu mpaka anakufa bado tu wanamdai rambi rambi na mbaya zaidi alipokufa msiba wakaufanya wa chama ili wale rambi rambi kwa kufungua account ya chama ya kupokea rambi rambi badala ya account ya familia ya Ndesamburo na kibaya zaidi zilichangwa zaidi ya milioni 600 familia ikaambulia 120 tu duh aibu yao milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitu zima linafanya utoto. Laiti mkutano wa Lema ungekosa watu ungepiga porojo bila picha? Rudi Mirembe kamalizie dozi yako. Shwain mkubwaKatika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.
Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.
Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.
Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bashite tumekuelewa...nchi ina maendeleo makubwa yaliyoletwa na ccm....si ndio??Hata kama sie yeye mtu yeyote kutoka ccm atakaye gombea atashinda tu, hii ni kutokana na imani kubwa ya wanainchi walioijenga kwa ccm hasa katika kutoa huduma kwa wananchi na kuisimamia vizuri serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.... Kwani kabla hajawa mbunge alikuwa anaishije bana?[emoji87] [emoji87] [emoji13]Dah sasa sijui atafanya kazi gani maana mpaka sasa Wahasira pamoja na uzoefu wake hana kazi ya kufanya zaidi ya kubanana na Esta!
ungeweka picha ili kuthibitisha kuwa picha zilizowekwa hapa zilihaririwa.
Wamenunua mziki mkubwa ambao wanaufungulia kwa sauti kubwa lakini watu wengi hawajitokeziungeweka picha ili kuthibitisha kuwa picha zilizowekwa hapa zilihaririwa.
muziki na picha vinahusiana vipi?Wamenunua mziki mkubwa ambao wanaufungulia kwa sauti kubwa lakini watu wengi hawajitokezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakimbiwa na watu gan mkuu. Mbona mnaleta story za abunuas huku.Badilisha headline yako isomeke kuwa " Mh.Lema akimbiwa na watu mkutanoni".Usiwe na haraka sana ya kupata buku 7 ukaonekana zwazwa kwa kile ulichoandika.Headline na content havina uushirikiano kabisa.