Godbless Lema akosa watu kwenye mkutano wake

Godbless Lema akosa watu kwenye mkutano wake

Wana Arusha wameshasahau sakata la kuliwa rambi rambi?
Wana moshi wanakumbuka sana viongozi wa chadema kutoka Arusha kwenda kumchangisha rambi rambi marehemu Ndesamburu mpaka anakufa bado tu wanamdai rambi rambi na mbaya zaidi alipokufa msiba wakaufanya wa chama ili wale rambi rambi kwa kufungua account ya chama ya kupokea rambi rambi badala ya account ya familia ya Ndesamburo na kibaya zaidi zilichangwa zaidi ya milioni 600 familia ikaambulia 120 tu duh aibu yao milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni habari ya kusikitisha kamani ya kweli.
Ila mimi nilikuwa naulizia zile pesa zilichangwa kwa ajili ya rambirambi ya watoto wa St.Lucky.Kuna tetesi kuwa zilitaifishwa.
 
Wewe kweli umefilisika hekima inamaana sisi tuliokuwepo si watu ni nani sasa?
 
Mwambieni mkuu wenu ajenge viwanda kama alivyoahidi, akifanya hivyo hakutakuwa na sababu za nyie kukaa nyuma ya kibodi na kuandika rubbish kama hizi.
 
Katika hali ambayo hakuitegemea mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa watu katika mkutano wake wa hadhara alioufanya katika kata ya Murriet katika soko la kwa mrombo.

Hii ni msg tosha kuwa watu wa Arusha wamemchoka hivyo, ajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine ya kufanya.

Katika mkutano huu amepatikana mtoto aliyekutwa amekufa kwenye pangala la nyumba karibu na eneo la mkutano, kitu kilichoacha maswali mengi kwa wananchi na wengine wakihusisha tukio hilo na mkutano huu.

Katika mkutano huu alitumia muda wake wingi kuwashambulia mkuu wa mkoa wa Arusha na mkuu wa wilaya Arusha kuwa hawafanyi kazi yeye ndiye anayefanya kazi, hivyo wananchi waanza kumzomea na kuondoka kwani ukweli kuhusu mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaujua na ndipo mkutano wake ukavunji na watu wote wakaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari umeileta kiushabiki mno kiasi kwamba ukiwa na fikra huru ni ngumu sana kuielewa hii habari yako
 
Back
Top Bottom