PreGE2025 Godbless Lema acha mara moja kuingilia uhuru wa Vyombo vya Habari, huo udikteta uchwara uishie CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,679
Reaction score
9,839
IMG_20250407_172032.jpg

Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.

Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya godbless Lema akijaribu kunyamazisha vyombo vya habari visitoe habari kuhusu kinachoendelea chadema.
Dunia nzima inajua chadema imepasuka vipande vikubwa viwili na watu wanataka kusikia kinachoendela.

Tunakataa huu udikteta unaoendelea ndani ya Chadema na wanataka kuuleta mpaka kwenye uhuru wa vyombo vya habari.

Godbless Lema nakuonya acha huu udikteta wenu ambao mnataka kutuletea kwenda hii nchi.
 
View attachment 3295937

Nonsense!
 
Lisu na Lema madikteta uchwara
Take a picture, hao ni viongozi wa kichama tu, wameonyesha udikteta wa Hali ya juu, JE MFANO WAJE KUWA VIONGOZI WA TAIFA HILI TANZANIA ITAKUWAJE?, HAYA MAMBO WATU HUYAZUNGUMZA TU KWA KUPIGA KELELE, UKIWAWEKA KWENYE VIJINAFASI VIDOGO NDIPO UTAPATA INNER BEHAVIOUR!, WALIMTUSI MAGUFULI BURE TU, KUMBE NAO NDIO WALE WALE TU.
 
View attachment 3295937

Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.

Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya godbless Lema akijaribu kunyamazisha vyombo vya habari visitoe habari kuhusu kinachoendelea chadema.
Dunia nzima inajua chadema imepasuka vipande vikubwa viwili na watu wanataka kusikia kinachoendela.

Tunakataa huu udikteta unaoendelea ndani ya Chadema na wanataka kuuleta mpaka kwenye uhuru wa vyombo vya habari.

Godbless Lema nakuonya acha huu udikteta wenu ambao mnataka kutuletea kwenda hii nchi.
Pumba tupu.
 
Hata Nipashe nao wako kwenye hiyo project
 
Sema akili yako ndiyo iliyopasuka vipande viwili, siyo CHADEMA.

CHADEMA yenye wananchama milioni 10, kukatokea kakikundi ka watu hamsini kakajitenga na mamilioni ya wanachama, kwa upeo wako mdogo, utaita hayo ni makundi mawili? Hii inadhihirisha ni kiasi gani tasnia ya habari ya Tanzania imejengwa na watu wenye uwezo duni sana wa akili kiasi cha kushindwa kuchambua mambo kwa weledi!!
 
View attachment 3295937

Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.

Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya godbless Lema akijaribu kunyamazisha vyombo vya habari visitoe habari kuhusu kinachoendelea chadema.
Dunia nzima inajua chadema imepasuka vipande vikubwa viwili na watu wanataka kusikia kinachoendela.

Tunakataa huu udikteta unaoendelea ndani ya Chadema na wanataka kuuleta mpaka kwenye uhuru wa vyombo vya habari.

Godbless Lema nakuonya acha huu udikteta wenu ambao mnataka kutuletea kwenda hii nchi.
Wakoloni weusi wanapousunda uhuru huo mfukoni napounaona au kwa kuwa ni mw.kiti wa jukwaa la wasundwa mfukoni huwezi kuona hilo.
 
Back
Top Bottom