leeema zingatia mgawanyo wa kazi kumbuka mpk sasa hata kuwashukuru wapiga kura bado ghafla umegeuka mwimbaji ! Nooo a big no njoo tukueleze kero bana utajirusha baadaye
Kwa hiyo unataka awashukuru wapiga kura kama wabunge wa ccm ambao kila wakisimama bungeni hawana la maana la kuchangia, kazi ni kumpongeza Rais na kugonga meza mpaka bunge linaisha,,,,