Ndugu yangu unauliza naniii ya mbuzi wakati mkia unauona?Sikupendezwa na kauli ya Lema kumtabiria mtu mwngine kifo, kwani kifo na magonjwa ni yetu wanadamu wote na ni mpango wa Mungu!
Yalitokea pia kwa Edward Lowasa, kutabiriwa kifo na magonjwa,jambo ambalo halikuwa sahihi!
Yoote hayo ni makosa, ila ni kwanini sheria inabagua wakosaji wa kosa lilelile?