Godbless Jonathan Lema, anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono

Hawa jamaa wameirudisha sheria ya KIZUIZINI kwa mlango wa vifungu vya dhamana vimekosewa !! Shame on them
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.

Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.

Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Amezidi ujuaji mwacheni asote selo
 
Mahakama zetu zipo kwa ajili ya kulinda watawala na maslahi zao. Haki inapatikana kwa Mungu tu

Mkuu
Doctrine ya separation of powers haiheshimiwi, jaji anateuliwa na Rais ataacha kumtumikia aliyempa kula?
2. IGP anateuliwa na Rais unategemea atakuwa loyal kwa nani?
Hayo na mengine mengi ndo yametudumaza, inabidi kujipendekeza ili uweze kusurvive ambayo ndo maisha tuliyo nayo watanzania wengi.
3. Kama hatutarekebisha tutaendelea kupiga mark time hapohapo.
Tuache ushabiki wa vyama, hivi havitupeleki popote vinanufaisha wachache tu. Tujali utaifa wetu zaidi.
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.

Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.

Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Kwani haki ni nini? Hata hicho anachokipata pia ni HAKI YAKE kwa alichokifanya haki sio tu apewe dhamana hta hapo alipo ni HAKI YAKE
 
Haki ipi lema anaitafuta??yakutukana then aachwe? ??hizi ni haki za kijinga,wanaomuunga lema mkono wakapimwe akili
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.

Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.

Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Huyu ndio Mandela wa Tanzania , na Kisongo imeanza kupata umaarufu ule lilipata gereza alilofungwa Mandela .
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.

Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.

Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]

Big Up man, angalau unatumia muda wako kutukumbusha kwamba Lema (Mb) ananyea debe, vinginevyo hata hatujui!
 
Kwenye kesi yangu ya Dikteta Uchwara One Hakimu Mkazi alitoa dhamana na mara mawakili wa Serikali wakatoa taarifa ya mdomo kwamba wanatarajia kukata rufaa. Wakamuomba Hakimu kutoendelea na utaratibu wa kutoa dhamana kwa sababu ya nia yao hiyo. Hakimu Mkazi aliwakatalia kwa hoja kwamba asipotoa dhamana atakuwa ametengua uamuzi wake mwenyewe wa kutoa dhamana alioutoa awali. Wanasheria wanaita functus officio, i.e. alishamaliza kazi yake kuhusu dhamana na asingeweza kuirudia tena. Mazingira ya kesi ya Lema yalikuwa hayo hayo lakini Hakimu Mkazi alitoa maamuzi tofauti kabisa. Tunapenda sana kusema mahakimu na majaji wetu wanaangalia sheria tu. Ukweli ni kwamba kuna mambo mengi sana yanayoingia katika hukumu, especially za kesi za kisiasa kama hii, zaidi ya sheria. Mtazamo wa kisiasa na wa falsafa ya kisheria wa hakimu au Jaji husika ni kitu muhimu sana katika kuelewa maamuzi wanayoyatoa mahakamani. Mashinikizo ya wanasiasa au nguvu ya rushwa au pesa inaingia katika maamuzi ya kimahakama. Kwenye high profile case kama hii ni wazi mashinikizo haya yatakuwa yame-play a role katika maamuzi ya leo ya Jaji. Kwa mfano, ni Jaji ndiye aliyewaelekeza mawakili wa Lema kukata rufaa. Baada ya kufanya hivyo na kuwekewa pingamizi na mawakili wa serikali, ni Jaji huyo huyo aliyeikataa rufaa kwa hoja kwamba walitakiwa kutoa notisi kwanza. Jaji mwingine asingekubaliana na pingamizi hilo kwa hoja kwamba ni yeye Jaji ndiye aliyetoa maelekezo rufaa ikatwe in the first place. Na, by the way, ni Jaji gani aliyeamua rufaa ya leo??? Mh. Fatuma Massengi??? Angalieni nilichokisema bungeni juu ya majaji wetu mwaka 2013 na baadaye kwenye mkutano wa mwaka wa TLS Arusha. Ni mmojawapo wa majaji wa Kikwete ambao, kwa maoni yangu, should never have been a judge at all.
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.

Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.

Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]

Kwa nini unatumia nguvu sana kutaka kuwalazimisha watu wamsikitikie Lema? Kama ni haki yake kusikitikiwa na Watz atapewa tu!
 
-Mbona amepata haki yake ananyea Ndoo
-Ester Bulaya alipata haki yake dhidi ya wasira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom