Godbless Jonathan Lema, anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono

Sikupendezwa na kauli ya Lema kumtabiria mtu mwngine kifo, kwani kifo na magonjwa ni yetu wanadamu wote na ni mpango wa Mungu!

Yalitokea pia kwa Edward Lowasa, kutabiriwa kifo na magonjwa,jambo ambalo halikuwa sahihi!

Yoote hayo ni makosa, ila ni kwanini sheria inabagua wakosaji wa kosa lilelile?
Ndugu yangu unauliza naniii ya mbuzi wakati mkia unauona?
 
yani siku ile hakimu kakubali dhamana halafu baada ya kuitwa nje kagairi, nikajua basi hii kesi sio ya mahakamani ni ya ikulu,,,na ndoto itimie tu
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.

Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.

Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?

[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
peleka wako mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom