Amezidi ujuaji mwacheni asote seloMbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.
Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.
Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Mahakama zetu zipo kwa ajili ya kulinda watawala na maslahi zao. Haki inapatikana kwa Mungu tu
Anakesi ya ujangili mkuu.HV MH. LEMA ANA KESI YA UJANGILI AU MAUAJI? MAANA TUMEONA MAJANGILI YAKIPEWA DHAMANA BILA PINGAMIZI, NAHISI HUU NI MCHEZO MCHAFU DHIDI YA MAHAKAMA ZETU.
Kwani haki ni nini? Hata hicho anachokipata pia ni HAKI YAKE kwa alichokifanya haki sio tu apewe dhamana hta hapo alipo ni HAKI YAKEMbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.
Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.
Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Huyu ndio Mandela wa Tanzania , na Kisongo imeanza kupata umaarufu ule lilipata gereza alilofungwa Mandela .Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.
Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.
Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Sheria zinasemaje kuhusu kosa lake ?Haki ipi lema anaitafuta??yakutukana then aachwe? ??hizi ni haki za kijinga,wanaomuunga lema mkono wakapimwe akili
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema , anastahili kutendewa haki , anastahili pongezi, anastahili kuungwa mkono kwa njia zote ili aweze kupata haki yake.
Amefuata nyayo za mashujaa mbalimbali waliowahi kutokea Duniani, yawezekana leo tusimuelewe lakini hakika ataeleweka tu.
Watesi wake wanaohangaika na ndoto wanakosea sana kwani katika mafundisho ya dini ya kikristo Suala la Vijana kuota ndoto ni la Kiimani sana. Hivi angeota uchumi wa viwanda utafikiwa 2019 angelikuwa mahabusu?
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Labda mungu wa mavuta bange.God bless Mh Godbless Lema
Katukana vipi?? Ebu nukuu maneno hayo ambayo ni matusiHaki ipi lema anaitafuta??yakutukana then aachwe? ??hizi ni haki za kijinga,wanaomuunga lema mkono wakapimwe akili