geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/Wewe unauelewa mpana sana..
Nashkuru kunawachache msio watumwa wa hii miiungu watu wa vatican/israel/macca
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/Hizi doctrine za wahindi na wachina zina wavuruga sana vichwa vyenu
Na wanasayansi wasio amini mungu mbona hujawataja?wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
hujajibu swali bro...yesu aliishi hapa duniani ..unakubali au unakataa???Awe aliishi hapa duniani au hakuishi Mimi hainisaidii CHOCHOTE KATIKA MAISHA YANGU. Watu Kama nyie ndio ana msaada kwenu, kuwapokea baada ya kufa😅😅😅
hujanijibu swali swali bro...unamin kua yesu alikuawako hapa dunian??? au je kwann tunatumia bc kuwakilisha miaka???/ mfano 200bcNa wanasayansi wasio amini mungu mbona hujawataja?
hujajibu swali bro...yesu aliishi hapa duniani ..unakubali au unakataa???
duu bro..owkay may be nimeenda mbali sana..vipi unaamin kulikua na kuna mtu anaitwa mkwawa ..???Sikatai Wala sikubali Wala sijui hata wewe hujui pia
duu bro..owkay may be nimeenda mbali sana..vipi unaamin kulikua na kuna mtu anaitwa mkwawa ..???
Yeah Mkwawa alikuwepo
kwann unaamini alikuepo????????????????Yeah Mkwawa alikuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ushawai kwenda kwenye show ya diamond platnum kabla ya yeye ajapanda kwenye stage kuna wasanii underground wanatoaga burudani
Nahisi ndo kitamkuta jamaa huyu siku ya kiama
"Unabidi uwe na akili kidogo ili ujue nime maanisha nini hapo juu"
How do you explain the universe?IN GOD WE TRUST
How do you explain the universe?Nitaendelea kuamini Mungu yupo hata Kama hayupo maana sipungukiwi na chochote.
Kama unazungumzia Mungu wa kwenye vitabu vya kidini_kweli utakuwa sahihi
Lakini kuhusiana na chanzo kikuu tunachokilejerea kama Muumba_bado hutokuwa sahihi
Dunia tunayoishi ndani yake pamoja na ulimwengu wote kwa ujumla haujatokea kwa bahati mbaya
Kuna ufahamu mkuu unaojidhihirisha kwenye lugha ya vitu vionekanavyo ambayo ni ngumu kuishika kwa haraka_ila mda utaamua
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
Yesu gani?hujanijibu swali swali bro...unamin kua yesu alikuawako hapa dunian??? au je kwann tunatumia bc kuwakilisha miaka???/ mfano 200bc
Unaamini wanga wapo?Wanga tu hao wanataka kunila nyama kwenye ngoma ya Mahepe.
Waimbe
"Cheketu cheketu Mahepe
Nyama ya mutu, ni tamu
Kasoro kidole cha mwishooo"
Ndiyo maana mara nyingine nakaa nao mbali.
Kabla ya kujibu, naomba unieleze uelewa wako wa neno "wanga".Unaamini wanga wapo?
Wanga ni watu wanaochezea watu wengine katika hali ya kimazingaraKabla ya kujibu, naomba unieleze uelewa wako wa neno "wanga".
Mtu anaposema "wanga", hilo neno unalielewaje?
Nauliza hivi ili tuwe pamoja, nijibu unachouliza, si ninachofikiri umeuliza.
Hali ya kimazingara ndiyo nini?Wanga ni watu wanaochezea watu wengine katika hali ya kimazingara