God i pray to all jf relationships to have power;everybody say amen!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
578664_342501572503129_1377489751_n.jpg
 
enjoy ur relationships
kumekuwa na mazoea ya kila ndoa ni laana ama fedhehea leo nakupa Nguvu frm God
ndoa yako ikawe ushuhuda kwa kila mtu ...kama walizoea kukaa rosegarden kuangalia
mnavyopita na gari huku mmoja yuko busy na simu ikwawe kwao in Jesus name....
FANYA MAOMBI YA BACK TO SENDER;SIO KILA JAMBO UNAMSINGIZIA SHETANI KUNA WATU
WAMEKAA KUHAKIKISHA UENDELEEI UZAI UKAI KWENYE NDOA YAKO AMKA SAASA FIGHT 4UR DESTINATION
USISUBIRI KUWEKEWA MIKONO NA WACHUNGAJI NDIO WAMALIZE NDOA ZAKO WENGINE NOW DAYS WANAKUSAIDIA
BE CAREFULL FIGHT 4UR OWN LVE..MUNGU AKUPENGUVU
 
Yani mi sielewi kuna watu kabisa wanakaa na kufanya mambo yao ili kuhakikisha kua flani hazai ndoa yake haidumu hawajiendelezi wanaishi maisha ya taabu hivi kwann watu wawe na mioyo hiyo?!! Washindwe kabisaa
 
wakishindwa tu wanakuja kwako waammbie walegee hata wakija wamelegea unawamaliza kwa maombi
aibu yako aibu ya .......
 
Back
Top Bottom