Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,950
Wakuu habari zenu kwa mpigo. Ninafahamu kuwa wengi wetu tunafahamu maana ya neno IGNORANCE. Kama hamkumbuki basi maana yake kwa kimombo ni hii " Ignorance does not mean lack of knowledge but of self knowing"
Kuna maandiko mengi katika dunia ya sasa yanayomzungumzia binadamu na nature na hasa binadamu ni nini? "mimi" ni nani? what is "I" kama vile The master Key Systems na vinginevyo. Leo nimemaliza kusoma hiki.
Nawashauri mkitafute mkisome, japo najua wengi hampendi kusoma. Ila mkikisoma mtaanza kugundua mambo mengi muhimu na ya ukweli yaliyojificha katika ulimwengu wa roho na science.