Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

Juzi tu Mwaka 2011 Goba tulikua tunapanda Canter zenye Mabenchi nyuma...hata Tax zilikuwa haziwezi kupita huko mvua ikinyesha..sijui kwanini sikununua kiwanja cha laki mbili huko enzi hizo
Sasa hv ni 110,000 TZs kwa 1sqm. Ungetoboa sana
 
Back
Top Bottom