Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

Barabara zipi au maeneo gani yasiyokuwa na bar nyinginyingi, madanguro na manight club? Maana maeneo hayo ndo afadhari kuishi kifamilia..naonaga kimara kimara, kinyerezi nilikuwa nadhani na Goba huko
 
Tanzania yote imeshakuwa sodoma na gomora inabidi Yale mahubiri ya tubuni Yesu yu karibu yashamiri na wenzetu waislam warudishe Yale mawahidha haya mahubiri ya kuchekesha watu yanatosha unahubiri huku watu wanavunjika mbavu wakati mtaani tigo zonafumuliwa kama watu hawana akili nzuru ebo.
 
Huko nasikia kulishajaa ndugu. Hata ukibahatika kupata, nasikia bei zake zimechangamka hasa! Tutaendelea kujaribu. Atafutaye hachoki. Penye nia pana njia. Napendelea sana sehemu zenye utulivu.
Off course bei zake zimechangamka sana ila kwa mwenyeji bei iliyopoa unaweza kupata atleast ila aidha pawe ndani kidogo
 
Nchi ya kipumbavu sana hii.

Hakuna mipango miji hii nchi kila mtu anajifanyia apendacho. Wewe unajenga nyumba in a residential area mwingine anajenga frame pembeni yako mwingine anaweka bar hapo hapo, mwingine anaweka sheli hapo hapo kila kitu ni hovyo.

Nchi ya kipumbavu sana hii.
boss umeongea kwa kumaanisha sana, nini cha kufanya sasa. what's ur opinion
 
Back
Top Bottom