Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,220
- 73,882
Kwa Coco na hiyo Bei inaweza kuwa Sawa kulingana na mazIngiraSawa na vimishikaki vya coco beach, wanakuletea mishikaki 20 halafu wanasema bei ni elfu 40😄, mishkaki yenyewe ni ile ambayo kitaa ni shilingi 500 maximum price, sio ile yenye nyama za kushiba inayouzwa buku 2. Hela ngumu sana
Parefu Sana ndio Maana ni muhimu kutathimini mapema mahali unayotaka kuweka kazi yako, sio unakata kila unaposikia kuna nyumba nzuri, itakukost kwenye gharama za maishaNifunge safari kutoka goba mpak sterio parefu ujue
Nend Temeke na mabibo pale unaozea kwenye Madhara kila siku wanatupaTuliwaambia parachichi inalipa mkatuita motivational speaker 😂😂
Yes,nilijua tu alienda na mkoko gengeni.😀Wee umepaki gari ukafikiri nini..
Siku nyingine kapaki mbali uende kwa miguu
Muuza maparachichi usijibu kwa paniki ongea kama mchuuzi anayejitambua,unauzaje parachichi moja Tsh 7,000/= hilo parachichi umelipandisha ndege?Kalime na wewe utuuzie buku
Nimekuambia nauza parachichi,acha ujinga 🚮Muuza maparachichi usijibu kwa paniki ongea kama mchuuzi anayejitambua,unauzaje parachichi moja Tsh 7,000/= hilo parachichi umelipandisha ndege?
kuna akina sisi wengine hatutak kujaziwa nzi,...unalipwa hela yako, nakumaki sura, alafu nakusaka kimyakimya ili nikufunze adabu,...Ni km Goba Centre kituoni tu nilikua nakatisha mitaa ya road maeneo ya Buguruni ngambo ya Kiwanda cha Bhakhresa tu nikagonga karanga zote chini ili nisijaze inzi na mambo yasiwe mengi nikamwambia hesabu zote zilizopasuka nalipa sasa niliposema hivyo mshenzi akasema wewe una jeuri ya pesa akapandisha bei ghafla unaambiwa kifuko cha 500 kimoja jamaa akaniambia 2000 na nilipasua km vitano hivi nikavilipia 10,000 nikalala kushoto ila nilichukia sana ile kuficha aibu tu na mambo yasiwe mengi nikam-bless yule yanki shuka moja la kimasai nikateembea na Yesu asije akanijazia umati
Ulichokiandika pale juu ni kama umethibitisha wewe ni muuzaji wa hiyo bidhaa.Nimekuambia nauza parachichi,acha ujinga 🚮
Mbezi nao wameanza kuiga, nikiwa na muda mimi huwa naenda zangu goms vitu bwelele, Goba hakufai hamna genge wala vibanda, bei za vitu ni mara 3, 4 au 5,,, kwa kipi sasa mi sioni jamaniWatu wa Goba wengi siku hizi wanakuja Mbezi Mwisho kufanya groceries zao. Goba imekuwa eneo ghali sana kuishi, njooni mbezi kuanzia mazaga ya jikoni, nyanya, vitunguu, karoti mpaka matunda ni cheap sana. Kilo ya vitunguu ni buku tu, ukinunua kilo tano unakaa na kusahau, nyanya sado 5,000 imagine, karoti za 5,000 utashangaa.
Mbezi huwa unaenda maeneo yapi, ukitaka cheap nenda maeneo ya CRDB kule chini, vitu kama nyanya, karoti, hoho, vitunguu ni bei rahisi sana.Mbezi nao wameanza kuiga, nikiwa na muda mimi huwa naenda zangu goms vitu bwelele, Goba hakufai hamna genge wala vibanda, bei za vitu ni mara 3, 4 au 5,,, kwa kipi sasa mi sioni jamani
Mbezi ina nafuu kwasababu unailinganisha na goba, mbezi yote naijua,Mbezi huwa unaenda maeneo yapi, ukitaka cheap nenda maeneo ya CRDB kule chini, vitu kama nyanya, karoti, hoho, vitunguu ni bei rahisi sana.
Nashangaa sana. Hata Masaki na Oysterbay parachichi kubwa, zuri na linalovutia, tena la kutoka Rombo bei haizidi 4,000/=Yaani goba imekuwa prime area nowadays na supermarkets wakati miaka 20 iliyopita nilikuwa nalima mahindi mabadiliko hayakwepeki.