Goba parachichi 7000

Hahaha ni wa mtaani au? Kama wa mtaani kapoteza mteja.
Ni km Goba Centre kituoni tu nilikua nakatisha mitaa ya road maeneo ya Buguruni ngambo ya Kiwanda cha Bhakhresa tu nikagonga karanga zote chini ili nisijaze inzi na mambo yasiwe mengi nikamwambia hesabu zote zilizopasuka nalipa sasa niliposema hivyo mshenzi akasema wewe una jeuri ya pesa akapandisha bei ghafla unaambiwa kifuko cha 500 kimoja jamaa akaniambia 2000 na nilipasua km vitano hivi nikavilipia 10,000 nikalala kushoto ila nilichukia sana ile kuficha aibu tu na mambo yasiwe mengi nikam-bless yule yanki shuka moja la kimasai nikateembea na Yesu asije akanijazia umati
 
Wazungu wenzetu Wana value money, hata kama ni Tajiri bado hawezi kulipia kitu ambacho hakiendani thamani.
Moyo Steak , robo kilo ya steki choma niliambiwa shilingi elfu 90.. nikacheka sana, maana ni bei ya kilo 9 za nyama mbichi. Kwa elfu 70 utanunua kilo 7 za nyama, 10k ya viungo na 10k mkaa na foil, utachoma ule nyama mpaka uzimie.
 
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
Sawa na vimishikaki vya coco beach, wanakuletea mishikaki 20 halafu wanasema bei ni elfu 40πŸ˜„, mishkaki yenyewe ni ile ambayo kitaa ni shilingi 500 maximum price, sio ile yenye nyama za kushiba inayouzwa buku 2. Hela ngumu sana
 
Washez sana
 
Watu wa Goba wengi siku hizi wanakuja Mbezi Mwisho kufanya groceries zao. Goba imekuwa eneo ghali sana kuishi, njooni mbezi kuanzia mazaga ya jikoni, nyanya, vitunguu, karoti mpaka matunda ni cheap sana. Kilo ya vitunguu ni buku tu, ukinunua kilo tano unakaa na kusahau, nyanya sado 5,000 imagine, karoti za 5,000 utashangaa.
 
Moyo Steak , robo kilo ya steki choma niliambiwa shilingi elfu 90.. nikacheka sana, maana ni bei ya kilo 9 za nyama mbichi. Kwa elfu 70 utanunua kilo 7 za nyama, 10k ya viungo na 10k mkaa na foil, utachoma ule nyama mpaka uzimie.
Hao wenye hizo biashara nadhani wan biashara nyingine nyuma ya kapeti kwa hiyo hawataki nyama zo ziishe
 
Mbezi patamu sana nataka nihame huko
 
Attachments

  • HQgT1r8WEAAQizI.jpg
    88.9 KB · Views: 2

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…