GOAL-LINE technology YARUHUSIWA

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Masaa machache yaliyopita, officials mabali mbali wa mpira wa miguu walikutana Zurich kupiga kura na kuamua iwapo utumizi wa technology kuamua kama mpira umevuka mstari utumie. Matokeo ya mkutano huo ni kwamba mfumo huo umeruhusiwa kutumika na utaanza kwenye michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Dunia yitakayofanyika japan mwaka 2013.
 
van Persie anasema ye anakwenda kutafuta
makombe...
Podolski anadai amekuja kubeba makombe...
Gang Chomba anasema AC Milan are the world’s
most successful club!...
 
Mi ninachojiuliza..Je,tutaweza kuitumia Goal-Line technology ktk hivi viwanja vyetu ambavyo vingi havina hata umeme.? Je,marefa wetu wote wana ujuzi wa kutumia tarakilishi?
 
kinachofanyika ni kwamba kuna kitu kinawekwa ndani ya mpira. Kita sense mpira ukivuka mstari na kutuma ujumbe kwenye saa ya refa.
 
Lakini hata hivyo,hii technology sio nzuri sana. Itafika mahali mpira utakuwa unapooza,kwasababu refa hadi asikilizie hicho kifaa kimjulishe.
 
Nashukuru EUFA wameikataa hii technolojia. Wao wataendelea na waamuzi watano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom