Dunia haijawahi kushuhudia mwanamke/mke golikipa.
statement yako inadhalilisha sana wanawake mkuu, waombe radhi.
Hata mke akikaa nyumbani bado anakuwa kuna kazi anafanya ambazo otherwise zingetakiwa zifanywe na mtu kwa kumlipa. Don't underestimate effort za mwanamke kuweka mazingira ya nyumbani vizuri. Kule kufanya kazi kwako ujue behind the scene mwanamke wako kafanya mengi sana mkuu. Hii tunaita ni traditional role of a woman.
Pili, kama unataka mwanamke wako aingize tangible cash inflow (ambayo naamini wewe ndo unaona kuwa ndio kazi), basi atafute either ajira ya kuajiriwa ama ajiajiri mwenyewe.
Kama kazi ya kuajiriwa utaona ina mshahara mdogo, mwendeleze kielimu afikie hatua unayoona inafaa (It is never too late to learn anything in this world)
Kama vipi, mpe mtaji afungue mradi ambao utawaingizia kipato.
Ukumbuke kazi yoyote atakayofanya iwe ya kuajiriwa au kujiajiri, ili iwe na matunda unayotaka lazima benefits expected from zizidi benefit ambazo angeweza kupata/ungeweza kupata kama yeye asingefanya hiyo kazi ya kuajiriwa.
Mfano, assume anapata mshahara wa sh. 100,000 (mapato baada ya kutoa matumizi ya nauli pamoja na lunch akiwa job)
Gharama zake ni
1. kuajiri house girl ili afanye kazi ambazo hawezi fanya kwa sababu umempa kazi zingine
2. Gharama za matibabu, chakula na usumbufu mwingine kutoka kwa house girl)
3. mke wako kurudi kachoka na vi stress vya hapa na pale toka ofisini na hivyo kushindwa kukuburudisha ipasavyo
4. Mkeo kushikwa shikwa hovyo hovyo na wafanyakazi wenzio ama kama ni mama ntilie, vijana kumshikashika makalio n.k. n.k.
So kabla hamjafanya maamuzi kama familia lazima mzingatie mambo mengi sana. Pia nakushauri uanze kuthamini mchango wa mke wako ndani ya familia. Usipende kutumia majina kama golikipa, unamdhalilisha mkeo.