Haha ha, I'mma be back on December,stay tuned...
Red bull sio nzuri kuchanganya na keivanti, unaweza kurudisha namba kwa Mungu. Usijaribu mkuu ni hatari sanaDuh aisee mkuu we kiboko yaani unaichanganya na kvant mi hapo ningeipoozea na redbull
Ya mpakani mwa UGKwani uko Tanzania ipi!?
Hai tuuu mkuuMimi napitia tu comments, arafu nasema hahiiiiiii! Kwa mbaaaaaliiiii. Naona watu wachoma choerestral tu
vijana wanachanganya konyagi na Azam energy.Red bull sio nzuri kuchanganya na keivanti, unaweza kurudisha namba kwa Mungu. Usijaribu mkuu ni hatari sana