GMAIL SCAM: Your Email Address | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GMAIL SCAM: Your Email Address

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Aug 16, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Aug 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  fromGmail <verifysscs@gogleteam.com>
  reply-toGmail <verifyscess@gmail.com>
  dateSun, Aug 16, 2009 at 4:02 PM
  subjectYour Email Address


  Dear Account Owner,
  Dear Account User,

  This Email is from Gmail customer care and we are sending it to every Gmail accounts owner for safety. We are having congestion due to the anonymous registration of Gmail accounts so we are shutting down some Gmail accounts and your account was among those to be deleted. We are sending this email to you so that you can verify and let us know if you still want to use this account. If you are still interested please confirm your account by filling the space below.Your User name, password, date of birth and your country information would be needed to verify your account.

  Due to the congestion in all Gmail users and removal of all unused Gmail Accounts. Gmail would be shutting down all unused Accounts, you will have to confirm your E-mail by filling out your Login Information below after clicking the reply button or your account will be suspended within 24 hours for security reasons.

  * User name: ............................

  * Password: ................................

  * Date of Birth: ............................

  * Country Or Territory: ....................


  Warning!!! Account owner that refuses to update his or her account within Seven days of receiving this warning will lose his or her account permanently.

  Thank you for using Gmail !


  The Gmail Team
  G MAI L BETA
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa ndo kusema nini.
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Kwamba ni scam, usijibu email ya namna hii.
  Tena usimpe mtu password yako, hata awe system administrator, gmail team, yahoo team, bank manager, au nani!
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Sure, hao wanataka kuaccess email address zetu wafanyie wizi
   
 5. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aisee! hiyo nayo kali jamani...
   
 6. W

  Wanzuki Senior Member

  #6
  Aug 18, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo scam hata Yahoo! ilitumwa pia!!
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hii kitu usije jaribu kutoa info zako utakuwa umekula wa chuya. Nigerian's hao. Ukiwapa info zako siku hiyo hiyo wanatumia watu wote walio kwenye mail yako kwamba unahitaji msaada wa pesa, kwa kutumia email yako mwenyewe, maana umeshawapa uwezo wa kuingia kwenye account yako mwenyewe.
  B carefull.
   
 8. W

  Wanzuki Senior Member

  #8
  Aug 21, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni hii JHOOS ni nini jamani??! kwani na yenyewe inataka ujaze password yako!! kuna watu wameniinvite nijiunge, lakini nilipowauliza wanasema wala hawajui ni nini hicho!! That means, hawajanitumia hiyo kitu!
   
 9. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi ni kama ilivyoelezwa hapo juu usitoe password yako kwa mtu yoyote, kama ambavyo huwezi kutoa pin number yako ya bank na password ni hivyo hivyo. Ukiona unatakiwa utoe password yako basi ujue hiyo ni scam. Kuna watu maisha yao yanategemea utapeli wa aina hii hivyo kwao hii ndio fulltime job yao.
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Zipo websites zinawatumia watu invitation ionekane kwamba imetoka kwa rafiki yako kumbe siye aliyekutumia. Ni mbinu tu ya kukufanya utembelee website yao. Upo uwezekano rafiki yako aliwahi kujiunga kwenye hiyo huduma (JHOOS). Au pengine aliwahi kujiunga kwenye online service mfano chatting kwenye website fulani, website ambayo kumbe inakusanya email addresses baadae kuwauzia watu kama JHOOS au Facebook. Zipo njia nyingi tu za ku-harvest email za watu.

  Website yoyote inayokutaka uweke email address na password ili kujiunga, haina maana wanataka password ile unayotumia kuingia kwenye email yako, la hasha.
  Ukipenda, unaweza kujiunga, ila ni vyema ukaandaa password tofauti na ile unayotumia kuingia kwenye yahoo, hotmail, gmail, n.k. Password unayoitumia kuingia yahoo, sio mbaya ukaitumia pia kuingia gmail kama una accounts mbili.


  Hapa chini kwa mfano, unaweza kuingiza password yoyote mpya utakayoamua wewe. Password hii mpya unaweza kuitumia kwenye JHOOS na Facebook. Password hiyo hiyo ukaifupisha kuwa, mfano, miZengo23 halafu ukaitumia Jamiiforums. Muhimu ni kwamba hizi password usiwape rafiki zako.

  [​IMG]

  Mimi nina passwords zaidi ya 5, nyingine nimeshazisahau. Ila websites karibu zote ukisahau password ya kuingia humo kuna option ya kuomba utumiwe password nyingine kwenye email. Kwa maana hiyo usihofu sana ukisahau password ya facebook.


  [​IMG]
  NOTE: "New Password"; haijaandikwa yahoo password
   

  Attached Files:

Loading...