Gmail account

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,678
2,000
Wadau habari zenu,

Nina tatizo nikimtumia mtu mail kutumia accnt yangu ya gmail nikiwa nime-attach document inakuwa ina-fail kupokelewa.

Mfano kama ninamtumia mtu ambaye yupo orgnztn fulani inarudi message ya kumpuni husika yani postmaster wa kampuni hyo .

Je, hili tatizo husababishwa na nini?
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,926
2,000

Gmail ina uwezo wa kubeba file kubwa, so kampuni zinginezikataa kufungua mafile makubwa yanaweka jamp. Eg scania inaoffload 40MT kwenyecompound yako na kuna magari madogo 18 yanasubiri kuingia na kushusha mizigomidogomidogo kama stationary, order za manunuzi, etc …..automaticallyutamkatalia mwenye scania kuingia kwenye eneo lako?
 
xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,250
So nini solution yke coz nimejaribu kupunguza document ila bdo tatizo lipo pale pale

Kama ni office document jaribu kufanya conversion kwenda kwenye PDF kupunguza ukubwa.Isipo solve tatizo break down your document into two separate docs then zitume kama separate email.Otherwise tumia dropbox which enables you to share large files which can not be attached or sent via email.
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
Wadau habari zenu,nina tatizo nikimtumia mtu mail k2mia accnt yngu ya gmail nikiwa nime attach document inakuwa ina fail kupokelewa.mfano kama nina m2mia m2 ambaye yupo orgnztn fulan inarudi message ya kumpuni husika yan postmaster wa kampuni hyo .hili tatizo husababishwa na nini?

Umeongelwa postmaster, so basically either document zako zimeenda inaleta reply, au email yako kuna kitu umekosea, probably email inapokwenda, hakuna tatizo lolote na documents ulizoattach.. Afu kwa nini usisome hiyo message iliyo rudi ukaielewa, au ukaiattach hapa kwa kua we mvivu wa kusoma basi tuisome sisi tukwambie shida ni nini maana tatizo lolote lile hua linaandikwa.. I doubt kama una file kubwa ambalo gmail watagoma kutuma, au unatuma movie?
 
Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,064
2,000
Kama ni office document jaribu kufanya conversion kwenda kwenye PDF kupunguza ukubwa.Isipo solve tatizo break down your document into two separate docs then zitume kama separate email.Otherwise tumia dropbox which enables you to share large files which can not be attached or sent via email.

dropbox ndo mpango mzima kwa mafail makubwa kwangu
 
IKWETE

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
4,061
1,225
Wadau habari zenu,nina tatizo nikimtumia mtu mail k2mia accnt yngu ya gmail nikiwa nime attach document inakuwa ina fail kupokelewa.mfano kama nina m2mia m2 ambaye yupo orgnztn fulan inarudi message ya kumpuni husika yan postmaster wa kampuni hyo .hili tatizo husababishwa na nini?

Vitoto vya facebook mnatuharibia lugha! Vifupisho ulivyoviweka maana yake nini? Utadhani unamwomba ushauri girlfriend wako! Pumbaff!
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,970
2,000
Wadau habari zenu,nina tatizo nikimtumia mtu mail k2mia accnt yngu ya gmail nikiwa nime attach document inakuwa ina fail kupokelewa.mfano kama nina m2mia m2 ambaye yupo orgnztn fulan inarudi message ya kumpuni husika yan postmaster wa kampuni hyo .hili tatizo husababishwa na nini?
Hizo red ndizo zinasababisha server ya kampuni ikurudishie mail yako. next time jaribu kuandika kwa ufasaha badala ya kuandika ki'face book huenda ikakubali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom