kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Pity that even failed Somalia is ranked above you.
and you take it as the final truth!!.lol.
Pity that even failed Somalia is ranked above you.
DUUhhh..yaani hawa jamaa ambao walipaki vifaru kushambulia kuta wakati terrorist walisha sepa long time wanashine,hii kweli kituko
unamainisha that army cought carrying white bargs from the mall?.
exactly bros,the super army in EAST AFRICA
GFP have said above that they are still fine tuning the list so i have not taken a stand yet.
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.
Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma
Ok,while waiting for GFP to fine tuning the list,read this wiki.answers.com/Q/THE_top_10_countries_with_the_strongest_army_in_Africa
Ha ha ha kwa data zako hizi kuhusu Tanzania Pole sana
These are the 2014 world rankings:-
Global Firepower Military Ranks - 2014
For Africa, these are the ranks:-
African Countries Ranked by Military Strength
Naona umefanya kazi kubwa ya ku-Google hadi umeanza kuburuta Wikis. Sawa lets continue, but hope you read that Wiki statement that Tz is second after Kenya in terms of military equipment.
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.
Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma
Ok,while waiting for GFP to fine tuning the list,read this wiki.answers.com/Q/THE_top_10_countries_with_the_strongest_army_in_Africa
Yes,it is called Kenya Drinking Force!unamainisha that army caught carrying white bags from the mall?.
na wale walijipima kwa alshabab wastegate hiyo technolojia na vifaa hatukuviona wakaishia kuuana wenyewe kwa wenyewe na kuibawatanzania mmejaa maneno.jeshi la Kenya liko vizuri kuliko letu.mnajipima kwa M23 vita vya ak47 vichakani!sasa hivi ni zama za sayansi na teknolojia vifaa ndio mpango mzima.