Global Firepower - 2014 World Military Strength Ranking

Mkenya bwana. unakubali DRC ni ya 12. somali 20. Tz ya 22. Kawaulize M23. what is JWTZ.
 
Last edited by a moderator:
Mkenya bwana. unakubali DRC ni ya 12. somali 20. Tz ya 22. Kawaulize M23. what is JWTZ.

Hamna bana, M23 hamkuwapiga nyinyi pekee yenyu, ila muungano wa SADC yaani the mighty South African, Jeshi la Congo na JWTZ.
 
hv hapa wamefuata vigezo gani????...kwa kuangalia tu hz rankings naweza kuelewa dhumuni. la waliotayarisha...'KDF'... ni operation ipi wamefanya ikawa successful itakuwa labada wamebezi kwa wale wanaonunua Mitumba ya silaha kutoka westernz
 
Yes this looks rather strange, but they say they are still fine tuning the list so we expect things to change of course.
 
hv hapa wamefuata vigezo gani????...kwa kuangalia tu hz rankings naweza kuelewa dhumuni. la waliotayarisha...'KDF'... ni operation ipi wamefanya ikawa successful itakuwa labada wamebezi kwa wale wanaonunua Mitumba ya silaha kutoka westernz

We don't know, these are global things that we have no control over. In the 2013 ranking, KDF was at number 46 in the world. This year it has dropped to number 63. Some of the parameters used are given above, perhaps you can read for yourself and make your own conclusions.
 
Am glad our Kenya is shining here, but to be fair, I think something is not right, why did they dismiss Tanzania and threw it to the lowest rank even below failed Somalia. Aha! kadoda11 and Geza Ulole will be here like wolves fighting this. Bora nisepe kabla hawajaja.

Hey Mkuu,
These are not my creations, they are just there in the net. I only posted them here for purposes of debate. Indeed they are still fine tuning the list as they have said above so i expect the likes of TZ to do much better once this is done.
 
hv hapa wamefuata vigezo gani????...kwa kuangalia tu hz rankings naweza kuelewa dhumuni. la waliotayarisha...'KDF'... ni operation ipi wamefanya ikawa successful itakuwa labada wamebezi kwa wale wanaonunua Mitumba ya silaha kutoka westernz
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.

Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma
 
Hey Mkuu,
These are not my creations, they are just there in the net. I only posted them here for purposes of debate. Indeed they are still fine tuning the list as they have said above so i expect the likes of TZ to do much better once this is done.
Obviously it ain't your list, it's a global ranking done GFP.
 
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.

Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma

vituko kweli. et TZ kuna aircraft 12. for sure ukiondoa utitili wa mig na carier kuna f7 14 f7g 12. Tatizo hatunua mitumba eu
 
Hamna bana, M23 hamkuwapiga nyinyi pekee yenyu, ila muungano wa SADC yaani the mighty South African, Jeshi la Congo na JWTZ.

Hii list ingekua anafanya kaz basi drc isingesumbuliwa na rwanda
 
Ikawaje wewe ubaki kuwaponda KDF ilihali kuna nchi zimeorodheswa eti zaidi yenyu kijeshi. Waponde walio tayarisha taarifa waache Wakenya. Ukiangalia kwa makini baada ya kufungua page ya kila nchi kivyake, utaona kuna sababu ya kuonyesha KDF wanawazidi JWTZ hebu angalia hapa nataja tu baadhi ya vigezo muhimu.

Vifaa JWTZ : KDF
Tanks 30 : 186
Armored Vehicles 350 : 2000 - Hapa noma
Towered artillery 16 : 50
Rocket projectors 0 : 12
Total aircraft 12 : 134 - Hapa noma
Helicopters 2 : 66 - Hapa noma pia
Naval strength 12 : 19
Defense budget $220M : $595M - noma

Armored vehicles and Helicopters data are not correct.
 
Kila mtu kaumbiwa maneno ya kusema.Mnajua takwimu za kijeshi miaka ya 70 jinsi TZ ilivyokuwa inadharaulika? Iliifanya nini UDF chini ya Idd Amini?
Hivi Kenya mna jeuri ya kuitisha Tanzania? Inachekesha! Kenya iliyo deploy elite Commandos kupambana na wahuni wasiozidi 6 wakashindwa kuua hata mmoja?
KDF Commandos can't fight even FFU special unit achilia mbali World super Commandos from JWTZ!!!
 
Kiukweli wale FFU wenye kofia nyekundu ni zaidi ya KDF Commandos waache kupiga kelele hapa sembuse wazee wa Ngerengere?
 
Nguvu za Kijeshi kidunia: DRC ya 87, Uganda ya 88, Zimbabwe ya 95, na Somalia ya 100, wakati Tanzania ya 106; mbona kama sielewi??? Wamehesabu kupigana kutumia pinde na mishale au??
 
Usipasue kichwa mkuu na takwimu hata CCM ni mabingwa wa takwimu.Ili uziamini takwimu hizo kuna vitu vingi vya kuangalia.
 
Kiukweli wale FFU wenye kofia nyekundu ni zaidi ya KDF Commandos waache kupiga kelele hapa sembuse wazee wa Ngerengere?
Wacha Jazba kaka, sie wakenya hatujawafanyia jeuri JWTZ ila wazungu wamerusha takwimu zinazowadhalilisha, hatupo hapo. Na uskomee sana na la Westigate maana lile lilikua janga la ki-aina na halijawakuta hata nyinyi. Jamaa waliingia na kujifungia humo ndani na mateka.
Kwa kweli vyombo vyetu vya usalama vilichemsha maana hawajawahi kufanya matayarisho ya kushirikiana panapotokea janga linalohusu vitengo vyote. FFU wa hapa kwetu tayari walikua wamejitayarisha kuwamaliza wale wahuni kwa muda wa masaa mawili, lakini KDF wakaja na kulipua kila kitu maana wao hawana mafunzo ya vita vya kuviziana kwenye jengo. Waliwapiga Alshabaab kwao kwa mabomu, ndege na kila kitu.
 
duuhh siamini ethiopia? kistail vip......ata south sudan wametupita
 
Back
Top Bottom