Girls

swali lako unataka majibu toka kwa ke, au me? na mbona threads kibao zilishaongelea?
 
Mwenye fedha kwanza hiyo ndo first priority,u handsome hata paka anao....,kibamia maumbile atakuvumilia

Hahahahajm eti u handsome hata paka anao🙂🙂🙂 lol....nimecheka...

Hapo kibamia unampa moyo lazima tu ataibia....mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama lol😛😛😛😛
 
Hahahahajm eti u handsome hata paka anao🙂🙂🙂 lol....nimecheka...

Hapo kibamia unampa moyo lazima tu ataibia....mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama lol😛😛😛😛

Mwanaume pesa... mengine majaalowa
 
eti wanasemaga mwanamke sura, tabia utarekebisha na mwanaume pesa, sura utavumilia
sijui kama kuna ukweli hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…