Duu..huyo ana misuli kama dume..hapo kaka jambazi akivamia night home,kidume ndo utaweza uonekane mwanamke
Wengi wana nyonga ya kawaida mkuu
Janjaweed kaka ndo ugonjwa wako huo?
Mkubwa... mie mnyonge kweli kwa akina dada, na napenda the whole rainbow...
napenda wenye firm bodies
wenye usafiri
wenye sura za upole
wenye personalities za ukakamavu
wenye zile jeans handles aka vipisto
wenye six pack ndio kabisa
wenye short hair
walio natural... no sugar added
wachache wana vyote but two or three complete the whole spectrum... ndio maan naishi na wake wanne, ili kukamilisha ndoto zangu
Sema wengi mutindi na mawowo hawana
Mkuu njia yako nimeikubali..umeamua uchukue wake wanne ili vigezo/sifa zako zitimie..wee mkarii hahahahhaha!!!
Nimekusoma kaka..kwa hao nahisi hata dula kichwa wazi hashtuki
hao wanafunzi wangu !!!Kama Dume