Girls with six packs

Girls with six packs

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,832
Reaction score
15,034
Unawazungumziaje wasichana wenye 6packs?..can u date em?

attachment.php
 

Attachments

  • 1425545570950.jpg
    1425545570950.jpg
    38.7 KB · Views: 1,949
Why not?,tena hao ndiyo wazuri kwa sababu yeye ndiye atayekuwa ana control hiyo game,Mimi nimechomeka nimetulia,yooote atamaliza yeye..
 
Ni sehemu ndogo sana ya mwili wa mwanamke inayomvutia mwanaume. Hivyo vingine ni geresha tu.
 
Wa nini sasa huyo mwanamke anatakiwa kuwa nyoronyoro legevu na lainiiii
 
Why not?,tena hao ndiyo wazuri kwa sababu yeye ndiye atayekuwa ana control hiyo game,Mimi nimechomeka nimetulia,yooote atamaliza yeye..

Kama hauna mazoezi huyo atakutoa nishai kaka..wana pumzi ndefu sana
 
Kama hauna mazoezi huyo atakutoa nishai kaka..wana pumzi ndefu sana

Mkuu mkate kiboko yake chai,huyo analambwa kuanzia unyayoni hadi kisogoni anakuwa mlaini Kama mlenda unajichapia tu...
 
kuna wengine wanapiga squats kutengeneza takoo, hawa wanavutia kidgo. Ila wengine ni wale Lesbians wanapenda onekana kama wanaume ili wapate girls wenzao
 

Attachments

  • 1425532091766.jpg
    1425532091766.jpg
    58.2 KB · Views: 322
Six pack zinahitaji time, dedication and patience mpaka zionekane hao wanapumzi balaaa yaani weka Mbali na masharobaro wanaokula chips mayai.
 
Girls with six packs wako sexy zaidi.. sio wale wenye vitambi 😩😩
 
kuna wengine wanapiga squats kutengeneza takoo, hawa wanavutia kidgo. Ila wengine ni wale Lesbians wanapenda onekana kama wanaume ili wapate girls wenzao

Duu..huyo ana misuli kama dume..hapo kaka jambazi akivamia night home,kidume ndo utaweza uonekane mwanamke
 
Back
Top Bottom