Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

Habari zenu wana JF,

Naongea na wewe binti ambaye bado upo au upo kwenye mahusiano. Mabinti wengi ni vipofu mnapokuwa kwenye mahusiano na mbaya zaidi na jamii inayotuzunguka ndiyo kipofu zaidi.

Kwanini? Huwa mnajifanya crazy in love mpaka pale wanapokupelekea kuwa crazy kweli kweli baada ya kuzalishwa (sory kwa kutumia neno gumu ila ndiyo ukweli). Angalia kila hatua unayochokua kuna gharama.

Unapomvulia mwanaume nguo ukafanya ngono zembe huku ukijua kabisa lijianaume ulilonalo ni mzigo ila unajipa upofu oooh! I love the way he is. Ooh Niko radhi kulala nae chini mfyuu go to hell. Hivi mnajua kuna maisha baada ya ukichaa huo mimi sijui huwa wanawaza nini kwa kweli?

Eti sitaki kuonekana cheap ohoooo! Hutaki uonekane unapenda hela bora uombe ajue kabisa kuna jukumu mbele yake. Hawa viumbe ndiyo kila kukicha kuja kutuimba ooh single mama wakati wao ndiyo wametukojolea na kutuacha kwa kigezo ooh ametegesha mimba.

Ushauri wangu...
Fungua akili usijipige upofu ooh! Nampenda no wakati mwingine ni bora kupoteza unayempenda kwa ajil ya future (maisha halisi baada ya crazy love kuisha). Ukiona jamaa hana pesa na wala akili ya kuzitafuta piga chini anza upya.

Tumia kinga za kuzuia mimba na magonjwa. Condom, dawa 72hrs or p2 baada ya kusex usipate mimba. Hasa kwa wale vidume visivyojielewa ila kama kuna dalili ya rav 4 beba.

Usione aibu kununua hizo kinga ooh nitaonekanaje jiulize utaoneoanaje baada ya tokeo. Ukiona aibu kununua na mwenzio hawezi acha kufanya kabisa.

Ooh miss unapromote uzinzi jibu ni hapana ila nasema ukweli uliopo watu wanazini sana na hili si la kuficha zaidi tunajidanganya mpaka yatokee yakutokea.

Kwa wazazi kuweni wazi kwa mateen wenu acheni kujidanganya kuwa ni bikra.

Weekend njema
Can I be your friend?
 
Nashauri ungeandika kwenye gazeti kwa sababu, hao mabinti uliowalenga, kma wana uwezo wa kutumia JF, ujue washakua watu wazima na washamegwa sana.

Huu ni ujumbe mzuri kwa below 18yrs
 
Miss Chagga katika ubora wako..... Hutakagi ujinga.... Crazy love.. Is still there?
 
hivi kwa nini huwa mnasema uongo wanaume? huenda alimwambia hana mke
nawashauri wanaume muwe mnasema tu ukweli kwanza siku hizi wenye familia ndio wanapendwa.
so kuweni tu wakweli wa kujifanya kipofu ajifanye na wa kuchukua hatua achukue vile vile
hey mabinti msiache kupitia huu uzi utawasaidia
Tatizo wasichana wengi wanapenda kuambiwa kile wanacho fikiria wao,
Huwa inaniumizaga sana kukuta mdada anahangaika na mtoto mwenyewe huku baba wa mtoto yupo hai.
 
Back
Top Bottom