miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
- Thread starter
- #141
Ha ha huna hela mafutaALAFU KABLA UJAZAA RAV 4 INAGONGWA HAAA HAAAAA
Ha ha huna hela mafutaALAFU KABLA UJAZAA RAV 4 INAGONGWA HAAA HAAAAA
Kabisa mkuuYaan ni ukweli bila chenga, japo kwa wanaume wengi hili kwao watasema unakiburi lakini ni heri kutafuta amani yako na maisha yako kuliko kuvumilia maumivu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa sijaona, notification sizipati kwa wakati sijui ni hali ya hewa maana kuna mvua sana huku kwetu, yaani wakishatuoa wanatufanya makanyagio wanatuonea sana basi tukuna wengine ni married lakini ni km masingle tu huu ushauri yafaa tuuangalie pande zote !jimume linakufuja weeeeeeee linataka kila mwaka ulizalie uendelee kuchakaa lenyewe ht kagar ka 4m hakununulii !pyeee huu ushauri naubeba utanifaa next yr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa sijaona, notification sizipati kwa wakati sijui ni hali ya hewa maana kuna mvua sana huku kwetu, yaani wakishatuoa wanatufanya makanyagio wanatuonea sana basi tu
Ndo Kuna yule muitalino kaamua kujioa hahahaaaaahahha pole nadhan netwek mamy ah mochosho mitupu
Ndo Kuna yule muitalino kaamua kujioa hahahaaaaa
Nenda BBC Swahili kajifanyia bonge ya part, anakwambia hataki furaha yake imtegemee mtu fulaniahahaha sijaiskia !huyo kiboko
Nenda BBC Swahili kajifanyia bonge ya part, anakwambia hataki furaha yake imtegemee mtu fulani
Tamaduni zetu zinatushape vby, kosa la mume lkn ukitoka anaenyooshewa kidole ni mke dah hapo ndo huwa nachoka yanni kweli kbs usisubiri upokonywe furaha yako aisee sema sie ndo mazwazwa madai yake tunasema tunavumilia
upo sahihi watasema mke ameshindwa kufanya umalaya hahah mxiewwwTamaduni zetu zinatushape vby, kosa la mume lkn ukitoka anaenyooshewa kidole ni mke dah hapo ndo huwa nachoka yan
So sadupo sahihi watasema mke ameshindwa kufanya umalaya hahah mxiewww
wamekuelewa mkuu
Mabinti wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kujua wanataka nini !! .