Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

Habari zenu wana JF,

Naongea na wewe binti ambaye bado upo au upo kwenye mahusiano. Mabinti wengi ni vipofu mnapokuwa kwenye mahusiano na mbaya zaidi na jamii inayotuzunguka ndiyo kipofu zaidi.

Kwanini? Huwa mnajifanya crazy in love mpaka pale wanapokupelekea kuwa crazy kweli kweli baada ya kuzalishwa (sory kwa kutumia neno gumu ila ndiyo ukweli). Angalia kila hatua unayochokua kuna gharama.

Unapomvulia mwanaume nguo ukafanya ngono zembe huku ukijua kabisa lijianaume ulilonalo ni mzigo ila unajipa upofu oooh! I love the way he is. Ooh Niko radhi kulala nae chini mfyuu go to hell. Hivi mnajua kuna maisha baada ya ukichaa huo mimi sijui huwa wanawaza nini kwa kweli?

Eti sitaki kuonekana cheap ohoooo! Hutaki uonekane unapenda hela bora uombe ajue kabisa kuna jukumu mbele yake. Hawa viumbe ndiyo kila kukicha kuja kutuimba ooh single mama wakati wao ndiyo wametukojolea na kutuacha kwa kigezo ooh ametegesha mimba.

Ushauri wangu...
Fungua akili usijipige upofu ooh! Nampenda no wakati mwingine ni bora kupoteza unayempenda kwa ajil ya future (maisha halisi baada ya crazy love kuisha). Ukiona jamaa hana pesa na wala akili ya kuzitafuta piga chini anza upya.

Tumia kinga za kuzuia mimba na magonjwa. Condom, dawa 72hrs or p2 baada ya kusex usipate mimba. Hasa kwa wale vidume visivyojielewa ila kama kuna dalili ya rav 4 beba.

Usione aibu kununua hizo kinga ooh nitaonekanaje jiulize utaoneoanaje baada ya tokeo. Ukiona aibu kununua na mwenzio hawezi acha kufanya kabisa.

Ooh miss unapromote uzinzi jibu ni hapana ila nasema ukweli uliopo watu wanazini sana na hili si la kuficha zaidi tunajidanganya mpaka yatokee yakutokea.

Kwa wazazi kuweni wazi kwa mateen wenu acheni kujidanganya kuwa ni bikra.

Weekend njema
Huchoki kupotosha wenzio??? God is watching you mtani..!
 
hivi kwa nini huwa mnasema uongo wanaume? huenda alimwambia hana mke
nawashauri wanaume muwe mnasema tu ukweli kwanza siku hizi wenye familia ndio wanapendwa.
so kuweni tu wakweli wa kujifanya kipofu ajifanye na wa kuchukua hatua achukue vile vile
hey mabinti msiache kupitia huu uzi utawasaidia
Tatizo wasichana wengi wanapenda kuambiwa kile wanacho fikiria wao,
Huwa inaniumizaga sana kukuta mdada anahangaika na mtoto mwenyewe huku baba wa mtoto yupo hai.
 
Pumba kabisa miss chagga.. Utanisamehe ila acha watu wafuate mioyo yao.

Maisha hayana formula asee, kila mtu ana destiny yake, so let love lead..

Haya maisha tu acha watu waishi maisha.. Kila kitu Mungu ashapanga

Conservative me....
Sidhani kama Mungu aliwahi mpangia mtu kuzaa kabla ya ndoa, kwanza ni dhambi kubwa sana kujitwalia mtoto katika uasherati,mkuu usiseme tena kama kila kitu mungu anapanga unakosea vingine ni shetani kumradhi kwa interference mkuu!
 
Mpo serious kweli?

Mapenzi tufanye.
Raha tupate wote.
Katika raha hizo nijibaneee ili nisikuache njiani. Nasubiri mpaka ufike, mimi najibana tu.
Maneno matamu ya uongo na kweli tuambiane wote.
Hapo hapo kila mtu ana michepuko hata ya kuchat nayo tu.

Ila mwisho wa siku ili kukuonyesha upendo sijui, ndo nikuhonge?

Imagine:
Kitandani, unataka mashine, af mtu ajibane na kegel exercises ili kuzuia raha zake, ili wewe upate raha zako. Baada ya hapo akupe na mihela. Akuite date, uje na mirafiki yako.
Aisee huo ni ufugaji. Bora tu ufuge ng'ombe ukamue maziwa uuze. Maana unakuta hilo hilo limwanamke linaangaika na mianaume mingine na kukuponda kwa mashoga zake.

I mean... What tha f*ck? Nani aliianzisha hichi kiulazima cha kununua mapenzi? Kama hutaki si useme, ili tuwape nafasi wanaotaka maufundi tu.

Kwa kweli, hiyo hela ale tu mama mankaa, maana ndo ananilelea watoto, ananipa ushauri, anavumilia mashetani yangu...etc.

Baada ya kuwa mtu mzima na kujionea, nimeshudia mengi kiasi kwamba, kwa kweli, nimekubali; mwanaume ni yule anatembeza mashine na kusepa.
Kama kuhonga, endelea kuihonga mifuko ya bima, itakufariji uzeeni.
Tuache u**nge.
 
Umefurugwa
 
Yaan ni ukweli bila chenga, japo kwa wanaume wengi hili kwao watasema unakiburi lakini ni heri kutafuta amani yako na maisha yako kuliko kuvumilia maumivu.
 
Nafikiri wamekupata ujana maji yamoto fainali uzeeni
 
Back
Top Bottom