Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

Habari zenu wana JF,

Naongea na wewe binti ambaye bado upo au upo kwenye mahusiano. Mabinti wengi ni vipofu mnapokuwa kwenye mahusiano na mbaya zaidi na jamii inayotuzunguka ndiyo kipofu zaidi.

Kwanini? Huwa mnajifanya crazy in love mpaka pale wanapokupelekea kuwa crazy kweli kweli baada ya kuzalishwa (sory kwa kutumia neno gumu ila ndiyo ukweli). Angalia kila hatua unayochokua kuna gharama.

Unapomvulia mwanaume nguo ukafanya ngono zembe huku ukijua kabisa lijianaume ulilonalo ni mzigo ila unajipa upofu oooh! I love the way he is. Ooh Niko radhi kulala nae chini mfyuu go to hell. Hivi mnajua kuna maisha baada ya ukichaa huo mimi sijui huwa wanawaza nini kwa kweli?

Eti sitaki kuonekana cheap ohoooo! Hutaki uonekane unapenda hela bora uombe ajue kabisa kuna jukumu mbele yake. Hawa viumbe ndiyo kila kukicha kuja kutuimba ooh single mama wakati wao ndiyo wametukojolea na kutuacha kwa kigezo ooh ametegesha mimba.

Ushauri wangu...
Fungua akili usijipige upofu ooh! Nampenda no wakati mwingine ni bora kupoteza unayempenda kwa ajil ya future (maisha halisi baada ya crazy love kuisha). Ukiona jamaa hana pesa na wala akili ya kuzitafuta piga chini anza upya.

Tumia kinga za kuzuia mimba na magonjwa. Condom, dawa 72hrs or p2 baada ya kusex usipate mimba. Hasa kwa wale vidume visivyojielewa ila kama kuna dalili ya rav 4 beba.

Usione aibu kununua hizo kinga ooh nitaonekanaje jiulize utaoneoanaje baada ya tokeo. Ukiona aibu kununua na mwenzio hawezi acha kufanya kabisa.

Ooh miss unapromote uzinzi jibu ni hapana ila nasema ukweli uliopo watu wanazini sana na hili si la kuficha zaidi tunajidanganya mpaka yatokee yakutokea.

Kwa wazazi kuweni wazi kwa mateen wenu acheni kujidanganya kuwa ni bikra.

Weekend njema
Njoo hapa samaki samaki muda huu!
 
Hahaaaa mateam single hatuna pressure, mwendo wa kalenda tu Siku ukiwa na genye unaangalia ktk rafiki zako nani anaweza kukukuna vilivyooo hata umalize mwaka bila kimiss hiyo kitu....

Lkn miss ulichoandika niukweli, mapenzi siyo pesa je? Huyo uliye nae ana future na wewe/ya maisha ykeee??

Ngoja nikugongee likeeeeee
Naomba niwe rafiki yako.
 
Sasa balaa la jf linapokuja kila mtu atajifanya sio singo mother wala mdada, sasa sijui wahusika ndio wako wapi!??
 
Hahaaaa mateam single hatuna pressure, mwendo wa kalenda tu Siku ukiwa na genye unaangalia ktk rafiki zako nani anaweza kukukuna vilivyooo hata umalize mwaka bila kimiss hiyo kitu....

Lkn miss ulichoandika niukweli, mapenzi siyo pesa je? Huyo uliye nae ana future na wewe/ya maisha ykeee??

Ngoja nikugongee likeeeeee
Haha haha jovi....

Ukimiss unipe hiyo fulsa ya kukuna.
 
Hahaaaa mateam single hatuna pressure, mwendo wa kalenda tu Siku ukiwa na genye unaangalia ktk rafiki zako nani anaweza kukukuna vilivyooo hata umalize mwaka bila kimiss hiyo kitu....

Lkn miss ulichoandika niukweli, mapenzi siyo pesa je? Huyo uliye nae ana future na wewe/ya maisha ykeee??

Ngoja nikugongee likeeeeee
Ushauri mzuri sana Huu, ningekuwa single ndo ingekuwa ratiba zikipanda naangalia diary tu mwenye kukamua mpk girisi anatafutwa baada ya hapo napiga long time ivoivo yan,
 
Hahaaaa mateam single hatuna pressure, mwendo wa kalenda tu Siku ukiwa na genye unaangalia ktk rafiki zako nani anaweza kukukuna vilivyooo hata umalize mwaka bila kimiss hiyo kitu....

Lkn miss ulichoandika niukweli, mapenzi siyo pesa je? Huyo uliye nae ana future na wewe/ya maisha ykeee??

Ngoja nikugongee likeeeeee
Mapenzi ni pesa ndiyo future ndiyo maisha
 
Back
Top Bottom