Mimi nimeolewa ndiyo lakini hebu niwaulize swali wanaume hivi kama wanaochina ni wanawake na ninyi hamna shida yoyote kwanini ninyi ndiyo huwa mnayaongelea sana haya mambo kuliko wao wenyewe?Wewe umeolewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]huujui uchungu wa mtoto wa kike kuchina nyumbani. Yaani wenzio wanaolewa wewe upo tu. Inachoma kama pasi.
Acheni maringo ya kishamba. Kuna dem mmoja nilimtongoza akaleta maringo mm nikapotezea, yeye alijua nitapiga second attempt, basda ya hapo kuona nipo kimya kibao kimegeuka yeye ndio ananitongoza mm sasa. Na mm niweka ngumu mixer Maringo ya dunia nzima
Nisaidie kushangaa my dearMuulize kwani wote walioolewa ndiyo hawakuwa wakiuliza hayo mswali kabla hawajaolewa? Ujinga tu!
Shenzi kabisa. Na bado
Unachujuka na utam unaanza kupungua
We unadhani wanawake wote kipaumbele ni ndoa sio. Kiasi kwamba ubebe hadi wapuuzi wanaoshindwa kujielezea namba katoa wapi. Kama mwanaume anashindwa kujibu hilo swali maana akeTunatoa tahadhari. We jifariji tu.
Ndio dada zetu pia. Tunajisikia aibu pia dada zetu wanavyo vundia nyumbani.Mimi nimeolewa ndiyo lakini hebu niwaulize swali wanaume hivi kama wanaochina ni wanawake na ninyi hamna shida yoyote kwanini ninyi ndiyo huwa mnayaongelea sana haya mambo kuliko wao wenyewe?
Ndiyo maana mimiks kawauliza kule juu why take panadol for someone else's headache? Ninyi si mnachelewa kuzeeka na kwamba mna uwezo wa kuoa hata wanawake wenye miaka 20 sasa mbona mnasumbuka na hawa wanawake wenye miaka 40? Achaneni nao kwani wanawahusu nini?
We unadhani wanawake wote kipaumbele ni ndoa sio. Kiasi kwamba ubebe hadi wapuuzi wanaoshindwa kujielezea namba katoa wapi. Kama mwanaume anashindwa kujibu hilo swali maana ake
1. Hajiamini. Sasa ya kazi gani kuwa na mume wa hivo
2. Hana nia nzuri na wewe. Hawezi kuficha alipotoa namba kama anania njema. Period
Ndio useme ulipoitoa sasa. Yani watu wasiojulikana wote hawa niende kinaonane na mtu nisiemfahamu kisa dinner. Dinner my foot...Sio kazi sio biashara wakati nakukaribisha dinner nikutongoze? Unataka biashara gani? Mimi nikishajitambulisha inatosha. Mambo ya namba yako nimepata wapi, we unadhani nitakuwa nimeipata wapi? Damn
Ndio dada zetu pia. Tunajisikia aibu pia dada zetu wanavyo vundia nyumbani.
Ninayo mimi na watu wangu wa karibu. Sasa wewe sema ulipoitoa wapi. Hutaki kakojoe ulale. Wapo wanaokesea namba pia kwani hujawahi kuona au kusikia.Hatuoni ni swali gumu, ni swali la kipuuzi. Mpaka nakupigia unadhani nimekosea namba? We jua tu kuna mahali nimeipata, and on later days ntakwambia niliipata wapi?
Namba yangu umepata wapi? Kwani namba yako unayo wewe mwenyewe tu?
Ninayo mimi na watu wangu wa karibu. Sasa wewe sema ulipoitoa wapi. Hutaki kakojoe ulale. Wapo wanaokesea namba pia kwani hujawahi kuona au kusikia.
Nyie ndio mnasababisha dada zenu wanaolewa ili mradi ndoa. Atunze heshima. Kama msemavyo heshima ya mwanamke ndoa. Ndoa isiyoeleweka ili mradi ndoa.Ndio dada zetu pia. Tunajisikia aibu pia dada zetu wanavyo vundia nyumbani.
Hahahahha 8*8 leo mpaumziko. Akakojoe tu alale hamna jinsi [emoji28][emoji28]Hahahahaha akakojoe alale asubuhi yote hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkazie mpaka aseme katoa wapi namba yako
Yaan wanakesha kila siku wakijadili umri wa wanawake na kujifanya wanatujua sana! Wanakera,, siyo kila mwanamke akifikisha 30 anapanic wengi wako na mipango yao tu, maisha hayana formula.Mimi najiuliza kama wao haiwaumi wanaongelea ya nini? Inawauma sana!
Yani tena unadelete kabisa kwenye call log usije ukaipiga kwa bahati mbaya. Ukampigia majnuniSasa si ndiyo lengo letu au huwa hamjui?
Lengo letu mkate simu eboh waume mtakuwa nyie?
Hahahahhaha yani uipate tu hivi hivi ingekua hatariWeee mbona humu JF watu wanahangaika kuomba namba za simu PM? Kama wanaweza kuzipata muda wowote wanaotaka si wazipate sasa mbona wanaomba? Usumbufu tu
Au kama ni kweli siku hizi namba za simu ni rahisi kuzipata basi kuanzia leo wanaotuomba namba tutakuwa tunawaambia wazitafute wanakojua hadi wazipate halafu wakishazipata tukutane whatsapp
Hakuna cha maringo ya kishamba wala nini kuuliza umetoa wapi number yangu ni haki yangu maana hiyo number ni ya kwangu na Nina haki ya kuchagua nani wa kuwasiliana naye. Kuna ambao tumeuliza sana hili swali na tumeolewa vizuri tu.Acheni maringo ya kishamba. Kuna dem mmoja nilimtongoza akaleta maringo mm nikapotezea, yeye alijua nitapiga second attempt, basda ya hapo kuona nipo kimya kibao kimegeuka yeye ndio ananitongoza mm sasa. Na mm niweka ngumu mixer Maringo ya dunia nzima