Wakati mwingine umeipata kwa njia za intelejensia. Houseboy kakupa namba, ukimtaja anaweza kupoteza kazi. Anyways, halijawahi kunishinda hili swali.
Wanaume sio kwamba hatulipend hlo swal au ni gumu sana, tatizo hzo namba tunapata kwa rafik zenu ambao hawatak kujukikana kulinda urafik wenu mana hajui utarespond vip baada ya kujue ndiye aliyetoa namba, hata nyie mkitoa namba za rafik zenu huwa mnatoa kwa mashart hayo ya kototajwaHivi kwa nini wanaume hawalipendi hili swali? Ni gumu kiasi hicho?
Sister mbona umepanick? We endelea kukua. Sisi tunadate na wenzenu wa 1995 kuja huu huku.
Wewe umeolewa 🤣🤣🤣huujui uchungu wa mtoto wa kike kuchina nyumbani. Yaani wenzio wanaolewa wewe upo tu. Inachoma kama pasi.Hata tukijapan mtuache tu kwa kweli
Kwani kufika 30 ni offence? Stop making it a big deal... Kuolewa ni maamuzi pia! Kila siku imekuwa unafikisha miaka 30 , acha kuringia wanaume sijui vitu gani.
Acheni wafikishe 30, wengine wanafikisha hiyo 30 wakiwa na malengo yao pia, na wengine wanafikisha 30 and above na wanaolewa. So stop taking it kama njia ya kuwatisha wanawake.
Jamani
Sure hujakosea....nilikatongoza katoto ka 1998. By the way siko naye na nilikua nachepuka.
Wanawake ni kama pombe ya Mbege ikilala inakuwa ngera
Sasa si ndiyo lengo letu au huwa hamjui?
Lengo letu mkate simu eboh waume mtakuwa nyie?
Felister mambo?Jamani
HahaaaWanawake ni kama pombe ya Mbege ikilala inakuwa ngera
98 sio mtoto ni MTU mzimaSure hujakosea....nilikatongoza katoto ka 1998. By the way siko naye na nilikua nachepuka.
[emoji3][emoji3][emoji3] Mungu anakuona walahi...Wanawake ni kama pombe ya Mbege ikilala inakuwa ngera
Unachujuka na utam unaanza kupungua[emoji23][emoji23][emoji23]kwani tukifika 30 tutakufa?
Mwanaume hazeeki
Kabisa![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi Wanaume ni forever Young. Yani tupo kama Pombe. Inavokaa muda mrefu ndo inazidi kuwa tamu [emoji1787][emoji1787]. Sasa waache waendelee kusema Namba yangu umetoa wapi. Watakaa hadi Nyonga Zifunge
Kwani kufika 30 ni offence? Stop making it a big deal... Kuolewa ni maamuzi pia! Kila siku imekuwa unafikisha miaka 30 , acha kuringia wanaume sijui vitu gani.
Acheni wafikishe 30, wengine wanafikisha hiyo 30 wakiwa na malengo yao pia, na wengine wanafikisha 30 and above na wanaolewa. So stop taking it kama njia ya kuwatisha wanawake.
Sasa kwanini uombe namba kwa rafiki yangu na siyo kwangu?Wanaume sio kwamba hatulipend hlo swal au ni gumu sana, tatizo hzo namba tunapata kwa rafik zenu ambao hawatak kujukikana kulinda urafik wenu mana hajui utarespond vip baada ya kujue ndiye aliyetoa namba, hata nyie mkitoa namba za rafik zenu huwa mnatoa kwa mashart hayo ya kototajwa