Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,577
- 235,420
Sasa kujibu hivyo kuna tabu gani Hadi mlalamike kuulizwa hilo swali?Namba kupata sio issue. One can simply say nina business card yako.....namba nayo issue. Namba yako sio issue ndio maana nimeipata.
Hata tukijapan mtuache tu kwa kwelimtachina [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akina Nani hao????Mnaturingia humu wakati mkituona barabarani mnatamani tuwatongoze
Sasa si ndiyo lengo letu au huwa hamjui?Hili swali halina Adabu kabisa. Mm mtu akiniuliza hivi na simu nakata. Akinipigia namuuliza yeye namba yangu katoa wapi
Mwanaume hazeeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akina Nani hao????
Huku nyie ndo mnajaa kwetu wazee wazima kututaka watoto wadogo
Kifaa nakuona katika ubora wako!Sasa si ndiyo lengo letu au huwa hamjui?
Lengo letu mkate simu eboh waume mtakuwa nyie?
Sasa hilo siyo jibu tunahitaji majibu mmetoa wapi number zetu na siyo blah blahHilo swali niliulizwa jana...
Nikamjibu " Let's not debate on where i got your #"
Mtoto akaelewa na maisha yanaendelea sasa.
Kila mtu ajibu kulingana na hali yake[emoji41]
Sasa si ndio mseme tujue? Jamani!Hatuoni ni swali gumu, ni swali la kipuuzi. Mpaka nakupigia unadhani nimekosea namba? We jua tu kuna mahali nimeipata, and on later days ntakwambia niliipata wapi?
Namba yangu umepata wapi? Kwani namba yako unayo wewe mwenyewe tu?
Wanawake ni kama pombe ya Mbege ikilala inakuwa ngera[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi Wanaume ni forever Young. Yani tupo kama Pombe. Inavokaa muda mrefu ndo inazidi kuwa tamu [emoji1787][emoji1787]. Sasa waache waendelee kusema Namba yangu umetoa wapi. Watakaa hadi Nyonga Zifunge
Ndiyo sinayo mimi peke yangu lakini pia hanayo mtu mmoja wanayo watu wengi sasa si ndiyo uniambie kati ya hao ni yupi kakupa? Khee!Swali la kijinga. We unadhani namba yako unayo peke yako tu?
Hehe JF bwana wewe kuna siku si ulisema wa kwako kazaliwa 1998 na kwamba wewe umemzidi miaka 10 teh tehWangu kazaliwa 1995. Very young.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mpuuzi zaidi ni yule anaetaka kuwasiliana na mtu. Yani uchukie muda wangu tuwe tunachat unanipigia simu tuongee sio kazi sio biashara na hutaki kusema umepata wapi namba angu. Mimi huyu kwangu ni mpuuzi grade A. Na huwa sitoi hata dk moja yangu. Kama miaka inajongea na iende tu.
Sio kazi sio biashara wakati nakukaribisha dinner nikutongoze? Unataka biashara gani? Mimi nikishajitambulisha inatosha. Mambo ya namba yako nimepata wapi, we unadhani nitakuwa nimeipata wapi? Damn
Kifaa nakuona katika ubora wako!
Nipo nilikuwa mpenzi msomaji tuUliyeyukia wapi kijana??
Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi Wanaume ni forever Young. Yani tupo kama Pombe. Inavokaa muda mrefu ndo inazidi kuwa tamu [emoji1787][emoji1787]. Sasa waache waendelee kusema Namba yangu umetoa wapi. Watakaa hadi Nyonga Zifunge
Sister mbona umepanick? We endelea kukua. Sisi tunadate na wenzenu wa 1995 kuja huu huku.Kwani kama hamuwezi kusema mlipotoa namba si mkate tu simu kila mtu aendelee na mambo yake kwani shida iko wapi? Tusichoshane bwana eti tutazeeka hatujaolewa hivi unadhani wanawake wote walioolewa hawakuwahi kuuliza hilo swali?
Au kwa vile mmeshajua kuwa wanawake wengi wa kibongo wako desperate na ndoa basi ndiyo mnatumia hiyo kauli ya kwamba hawataolewa ili waogope waache kuuliza hilo swali? Yaani wanaume wa kibongo mna mambo ya ajabu sana yaani huwa mnaishi kwa kukariri tu!