Girls born in 1990

Mwimbaji alisahau kutaja jina la madume ambaya hayajaoa. But man huoa anapohitaji na siyo hivyo kwa mwanamke nazani ndiyo maana wana special name yao.[emoji848][emoji848]
Oohh kwahiyo ni kama wanawake ambao hawajaolewa? Vipi na wanaume ambao hajawaoa wanaitwaje?
 
Ofcause Ni vizuri kuuliza/kuulizwa kwa sababu ya usalama wao na wako pia. Mim naona hilo swali haliusiani na umri kabisa[emoji3][emoji3] ni suala tu la kiusalama zaidi. Ni kujipanga tu namna ya kuweza kujibu.
 
Ofcause Ni vizuri kuuliza/kuulizwa kwa sababu ya usalama wao na wako pia. Mim naona hilo swali haliusiani na umri kabisa[emoji3][emoji3] ni suala tu la kiusalama zaidi. Ni kujipanga tu namna ya kuweza kujibu.
Bora umesema wewe Kaka angu.
Wamekomaa swali la kijinga swali la kijinga.,kibaya wanatuatack watu wa 90..
Tutawauliza tu.
Lizarazu umeona mwenzio huyu alichosema?
 
Ametupa ila tunazitumia ka usahihi.

Wewe si umepewa mikono mbona huitumii kutembelea ? Najua umenielewa.
Hilo swali mimi ndiyo nilitakiwa nikuulize wewe maana umesema sisi tumependa wenyewe kutumia hisia wakati Mungu katupa akili na huku unajua kuwa hata ninyi mnatumia akili hata ambapo panahitaji kutumia hisia ila hamzitumii wakati mmepewa sisi mbona hatuwalaumu kwa hilo?
 
Unapenda kushare?
 
Fact kabisa ila wanaume huwa wanaona standards zao ndiyo ziko sahihi ila za kwetu hazina maana
Mimi nitajua mwanaume anaejielewa kutokana na standards zangu nilizoweka. Na wewe kwa mahitaji au standards zako, utajiwekea mwanamke gani anaejielewa.
 

Mbona hukuuliza mrembo ?

Ukweli uko pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…