Mbona ameshasema kuwa mazungumzo ndiyo yataishia hapo? Hivi kila mwanaume akisema kuwa safari moja huanzisha nyingine tutaanzisha safari na wanaume wangapi? Na hapo ukizingatia kila mwanaume anataka uwe wa peke yake! Aise!Kama ndio hivyo basi kumjua aliyetoa namba si jambo la msingi bali ni wasi wasi tu wa kibinadamu ndio maana nilikuuliza hivi je ukitajiwa mtu ambae baada ya kutajiwa ukwa humjui utachukua hatua gani ?
Manungayembe ndiyo manini?
Asante
Kunawimbo katika miaka ya 2000 ulikuwa unasema "wanawake wazuru wazuri wameshaolewa, yamebaki manungayembe yanahangaika" kwa kweri maana kamili ya neno manungayembe sifahamu, just quates from that song.Manungayembe ndiyo manini?
Hil sijaliona embu nionyeshe hilo amelisema wapi nikasome tena.Mbona ameshasema kuwa mazungumzo ndiyo yataishia hapo?
Safari ina nyingi shida na sio lazima ufike unako kusudia.Hivi kila mwanaume akisema kuwa safari moja huanzisha nyingine tutaanzisha safari na wanaume wangapi?
Hilo ndio umbile letu,yaani uwe wangu wangu peke yangu haswaa.Na hapo ukizingatia kila mwanaume anataka uwe wa peke yake! Aise!
Kwahiyo Mungu alikosea kutuumba tuwe tunatumia hisia? Maana huwa mnatulaumu sana sisi kutumia hisia!Safi,nimesema umeumbwa mwanamke sababu ndio stahiki yako na pili mnapenda sana kutumia hisia kuliko akili.
Hata hili Ni tusi..yaani Simba wawafunge man u kweli?[emoji23][emoji23]Kule nimekimbia long time ago....kuna madogo wana matusi balaa!
I can not be an epitome of something I don't know about, so it would be better if you explained the meaning first then call me what you will.you are an epitome
Sijui!Unapenda vitu gani ukiwa katika burudani ya kushangaaa?
Ni la msingi na lazima liulizweKama ndio hivyo basi kumjua aliyetoa namba si jambo la msingi bali ni wasi wasi tu wa kibinadamu ndio maana nilikuuliza hivi je ukitajiwa mtu ambae baada ya kutajiwa ukwa humjui utachukua hatua gani ?
Oohh kwahiyo ni kama wanawake ambao hawajaolewa? Vipi na wanaume ambao hajawaoa wanaitwaje?Kunawimbo katika miaka ya 2000 ulikuwa unasema "wanawake wazuru wazuri wameshaolewa, yamebaki manungayembe yanahangaika" kwa kweri maana kamili ya neno manungayembe sifahamu, just quates from that song.
Hivi inakuingia akikini kuzungumza na mtu bila kumuuliza hili swali??everyone was once like you!
I second you!!
Kwahiyo Mungu alikosea kutuumba tuwe tunatumia hisia?
Maana huwa mnatulaumu sana sisi kutumia hisia!
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!
Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.
Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.
Sasa si ndiyo kila mwanaume anataka tuanzishe naye safari na wanaume mnataka mkianzisha safari ni lazima lile tendo lifanyike kuna uzi mmoja humu unasema kipaumbele cha wanaume wote duniani kwa wanawake ni (ashakum si matusi) "uchi"Hil sijaliona embu nionyeshe hilo amelisema wapi nikasome tena.
Safari ina nyingi shida na sio lazima ufike unako kusudia.
Tatizo ulinzi wenu ni dhaifu sana na umekuwa dhaifu kwa kujitakia wenyewe.
Hilo ndio umbile letu,yaani uwe wangu wangu peke yangu haswaa.
Vipi kwani inawezekana tukawa wengi au unapenda tuwe wengi ?
Thanks but I'm takenYou mean also your strong women?. I am here stronger man to take you where you deserve.
Tunapenda? Kwahiyo ninyi mnaotumia akili Mungu hakuwapa hisia?Mola wetu hakosei wala hakuwahi kukosea na ametakasika na sifa kukosea.
Ulitakiwa kwanza kuelewa nilicho kiandika,naposema "......mnapenda...." ujue hayo ni mapenzi yako mwenyewe kwani ingekuwa hivyo basi asingewapa akili.
Hili ndio mnalipenda na huu ni uzembe wenu wenyewe.
Ametupa ila tunazitumia ka usahihi.Tunapenda? Kwahiyo ninyi mnaotumia akili Mungu hakuwapa hisia?
Thanks but I'm taken