Ukijua nilipotoa namba inakuongezea nini? Usipojua nilipotoa namba inapunguza nini?Utasikia ooh ulinipa mbagala wakati mbagala hujawahi fika.
Mwanaume anaepiga simu unamuuliza namba umetoa wapi anajielezea mbona anasikilizwa?
Yapo yale mabolizozo anakwambia nimepewa tu na mtu nataka tuonane tuongee vizuri.
Zama hizi za kutekana uanze kumsikiliza mwanaume asieweza kujielezea inawezekana kweli?
Ukianza kukata viunoo tu nakata simu na sikupokelei mpaka ujue uanaume wako kwa kujiamini uelezee namba umetoa wapi
Humu wengi mna ndoa imara, wasio na ndoa hawajaamua.Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
Mkuu,[emoji23][emoji23][emoji23]kwani tukifika 30 tutakufa?
Kwahiyo?Jina lako na mwaka unaozungumziwa kwenye thread vinaendana....
Kawashikeni salamaHumu wanawake wote ni smart,wameolewa na wanaume wa maana na hata ambao hawajaolewa wana waume watarajiwa smart na wenye pesa. Wacha tukashike masikio waliokata tamaa kitaa
Zama hizi sio za kuonana na mizimu yenye namba za simu.Ukijua nilipotoa namba inakuongezea nini? Usipojua nilipotoa namba inapunguza nini?
Kuolewa sio kuamua.Humu wengi mna ndoa imara, wasio na ndoa hawajaamua.
Kama unajiona umezubaa zubaa huna mbinu, kuwa tu mkweli. Ila kama mwanaume umefanya research yako na hutaki kukutana na hili swali. Basi unaeza ukaweka appointment katika kitu anachofanya bidada, kama mfanyabiashara, mwambie tu unataka kununua hiyo bidhaa hata kama hutaki.
Kama yuko kwenye professional fkani tengeneza tatizo linaloweza tatuliwa na hiyo kazi yake. Tengeneza mazoea nae kwa vyovyote vile.
Ila sio kama mnavyotaka nyie. Slope!
Humu wanawake wote ni smart,wameolewa na wanaume wa maana na hata ambao hawajaolewa wana waume watarajiwa smart na wenye pesa. Wacha tukashike masikio waliokata tamaa kitaa
Ukiona mali inaozea nyumban lazima ikuumeNa bado nini sasa? Achaneni nao wanaozeeka oeni wanaopevuka kwani kuna mtu alishawahi kupigwa au kufungwa kwa kufanya hivyo? Mbona makelele mengi sana? Au na ninyi wanaume kinawauma hao wanawake wasipoolewa?
Just imagine not living your best life to be someone's wife. And it doesn't happen. Kwasababu muoaji hana masharti mengi kama mganga wa kienyeji.
Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
Na hao wanawake hawapo humu. Wakawashike masikio dada zao waliokata tamaa kisa ndoa ndio watasikiliza simu hata zinazopigwa na vichaa ili wasifukuze they Mr. Rights.
Kwa sisi hata tugonge 40 tutauliza tu namba zilipotoka na hatuwezi ishi kuwafurahisha ili tuitwe wife material
Watu tunaangalia content maana kuna watu wanaandikaga threads ambazo heading haziendanagi na contentJina la thread inabidi liwe NAMBA YANGU UMETOA WAPI maanake ndio kinachojadiliwa.
Kwahiyo mnatushauri nini? Maana kuna wengine tuko above 30 na hatuna majamaa ya kueleweka.Hawa wadada wenye 30 plus, wengine ni ndugu zetu na wengine ni watarajiwa wetu, huwa wana stress ni hakuna. Hapa watajifanya wapo bold, ila kiukweli wanaungulia ndani kwa ndani.
Hata sisi wanaume huwa tunapata tabu sana kutongoza manzi wa age hiyo kama ana mtu wake tayari na jamaa anaeleweka eleweka. Hata kama demu zamani alikuwaga ganda la ndizi.
Nishakutana nao kama watatu wana plan za kuzaa tu, maana washakata tamaa.
Kiukweli huo sio umri mzuri kwa mwanamke ambaye hana jamaa anayeeleweka.
Humu wanawake wote ni smart,wameolewa na wanaume wa maana na hata ambao hawajaolewa wana waume watarajiwa smart na wenye pesa. Wacha tukashike masikio waliokata tamaa kitaa
Ukijua nilipotoa namba inakuongezea nini? Usipojua nilipotoa namba inapunguza nini?
Humu wengi mna ndoa imara, wasio na ndoa hawajaamua.