Girls born in 1990

Hapo swala siyo mwanaume kuwa na bikira ila swala ni wote wanaume na wanawake wajitunze sasa wanawake wakijitunza wanaume watakuwa wanafanya na kina nani? Halafu ni wapi pameandikwa kuwa mwenye bikira tu ndiyo anatakiwa ajitunze?

As far as I know vitabu vya dini vimekataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote mbili hakuna sehemu maandiko yamemkataza mwanamke halafu yamemruhusu mwanaume na wewe najua unafuata maandiko

Basi naomba niletee andiko ambalo linamruhusu mwanaume kufanya uzinzi na uasherati kama lipo halafu nitaacha kuwaambia wanaume wajitunze tatizo mnalazimisha utofauti hadi kwenye dhambi

Mkuu wanaume na wanawake tunatofautiana sana tu ila inapokuja kwenye swala la dhambi hakuna cha mwanaume wala mwanamke wote sawa kama lipo andiko linalowatofautisha wanaume na wanawake hadi kwenye dhambi basi lilete hapa nalisubiri
 
We jamaa Mungu akurehem. Namuonea huruma huyo unaesema ni mkeo. I can imagine changamoto anazopitia. Kwako wewe mke mwema ni mwenye bikra.
 
Yani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
Umeguswa mfupa wa nyoga wewe..
 
Yani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
Yaani kama vile rumewatuma! Pilipili usiyoila yakuwashia nini? Mnateseka na umri wetu kama vile mnatulisha ebo!!
 


Mkuu mimi sijasema wanaume wafanye zinaa. Bali nasisitiza na kuhamasisha vijana wasioe Wanawake wasio na bikra.

Nafurahi kwa kuwa Kampeni hii inasambaa kwa kasi kubwa. Vijana wengi sasa wanauelewa na elimu ya umuhimu wa bikra.

Ingawa pia ninawaoneaga huruma nyie dada zangu kwa kuwa kuna kuteleza lakini ni lazima kampeni hii ilete athari kubwa kwenye akili za vijana.

Nafurahi hili linaenda sambamba Masingle Mother japo mimi huko sipo sana kutokana na huruma niliyonayo kwa watoto.

Suala la biblia au Qurani hilo lipo wazi kuwa mwanamke asiye na bikra kuolewa ni kama neema tuu. Hivyo mimi nikisema sikuoi kwani sijakuta bikra nipo sehemu safe kabisa wala sihukumiwi na sheria.

Mwanamke akijitunza mwanaume hawezi kufanya zinaa.
 
Hahahahaha mbavu zangu, Menostop lol
[emoji23][emoji23][emoji23] huu msamiati niliupata kwa success, yaani nilicheka balaa. Ijumaa ile kabla ya hii iliyopita hukuangalia babe?
 
Umeguswa mfupa wa nyoga wewe..
Hamna mfupa wa nyonga wala wa bega. Mimi nina vipaumbele vyangu katika maisha siangalii miaka. First of...I don't look my age. Kitu kingine miaka ni nini kwani? Ni mentality flani tu ambayo ipo sijui nani aliieleta kwahiyo mimi siwezi kuumiza kichwa kwa mambo ambayo kwangu sio kipaumbele.

Na ukiniuliza umri wangu mpaka nitulie nivute kumbukumbu ndio niseme. Kwangu sio kitu kinachonifikirisha.

Mimi nafikiria nikikosa hela itakuaje sio nikikosa mume.
 
Yesu wangu..full Manka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…