Girlfriend wangu simuelewi

Girlfriend wangu simuelewi

hahahahhaaa,ni shiiider,kingreza sio kibaya,labda anaandika na machungu.jamani kupenda sio mchezo,mchunguze nawewe ifanye unampotezea kidogo,kengele itagonga kichwani mwake,wanawake huwa tunakereka kama mwanaume atanipenda sana na kujifanya anajali sana.inshort bichwa lake kubwa koz anajua huna mbawa huruki kwake,so jiweke pembeni kiaina atakutafuta huyo.anajua she is driving u crazy
 
Balala ya kukusaidia kusolve tatizo, watu wamekuongezea tatizo lingine la kwenda ku - brush ki inglish chako!
 
Dah miaka sita hujamteka moyo tu

Wewe si ndiye umepost hii makitu?sasa unachohamaki as if ni mchangiaji mpya nashindwa kuelewa.mnapenda sn multiple id's sijui y?kuna kila dalili ya kuwa ulijiona umekoment kwa id nyingine kumbe umejsahau.mchezo siufagilii kbs yn.
 
Nimesoma ulichoandika ila sijakuelewa kama vile wewe usivyomuelewa.
 
brian360

Kiingereza bhana kinaweza kumtambulisha mtu ni wa namna gani.....
 
Last edited by a moderator:
mzabzab

Yaani humu kwa kujazana upepo wakati wewe sirini unapelekeshwa huko na mwanamke wako halafu huku jf unajifanya kidume.. Mnaboa saana nyie wanaume mnaowapump wenzenu kana kwamba nyie kweli mnayafanya mnayotenda..
 
Last edited by a moderator:
Hili nalo linahitaji foo figa kupata jibu!!!!!

watt wa soseji na kiepe yai ni sheedaaah!
ivi lin mtawafunza wadogo zenu kuacha kulalamika lalamika??
nini lkn hiki sasa??
when are you going to train them to be active men to the society????
ata uyo mdada kesha jua hii ni staili kiepe soseji
 
brian360
pole kaka,but don't pay much attention to the garbage,any way i see no problem with ur english
 
Last edited by a moderator:
unatuchezea akili tu hapa we si ndo umeleta thread nawe wajiunga kushangaa

hahahaha.......... ukiona hivyo ujue ni multiple ID!" alilog out halafu akalog in kw ID nyingine kumbe imeingia ile ile y mwanzo badala y yapili.
sometimes happens .......

Grand PA
 
selestei

hahaha sasa tunaboa nini wakati ndio ukweli jamani. wewe mie nakubali kabisa kuwa zamani nilikuwa napelekeshwa na wadada but it dawned on me kuwa kila mwanamke kumpata lazima utumie hela...sasa that means sitogozi bali nanunua papuchi. sasa kama nanunua ya nini niteseke wakati wanawake wote wazuri kwa wabaya wanatoa huduma hiyo
 
Last edited by a moderator:
selestei
Sasa wewe tatizo lako ni nini hasa? Hivi unadhani kila mwanaume anaendeshwa na mwanamke?? Halafu ni mtu wa aina gani anayesema hawezi kukaa hata sekunde bila mtu fulani? Huo kama sio ujuha ni nini? Huwezi kuishi hata sekunde bila mtu kwani umezaliwa naye huyo?
 
Last edited by a moderator:
Wewe si ndiye umepost hii makitu?sasa unachohamaki as if ni mchangiaji mpya nashindwa kuelewa.mnapenda sn multiple id's sijui y?kuna kila dalili ya kuwa ulijiona umekoment kwa id nyingine kumbe umejsahau.mchezo siufagilii kbs yn.



Mkuuu mwenyewe nimepigwa na butwaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom