Girlfriend wangu simuelewi

Girlfriend wangu simuelewi

Miaka sita yote hiyo hivi huwa mnafanya nini?? Eti wachumba???? Usifungiwe nira na wasioamini
 
Ni hivi mdogo wangu, sisi wasichana japo si wote lakini tupo hivi, unaweza ukawa na mtu hata miaka 10 but that doenst mean you love that person, ila unakuwa nae tu kwa kuwa ndo anaekupenda kwa dhati na kuepusha hali ya kuwa mpweke alimradi na wewe uonekane una mtu kwasababu hujampata yule unaemtaka na hata ukimpata unaishia kuumizwa, kwahiyo tunajikuta tunagandana na wale ambao wako kama wewe ila mioyo yetu inakuwa kwingine kabisa na katika hali hiyo basi kamwe usitegemee kupata attention yoyote sana sana uwe tu unajiongeza wewe mwenyewe na usije ukashanga utakapoachwa siku atakapompata wa moyo wake
 
Hii inanishangaza hata mię labda atumie scientific calculator.....

Iko haja ya kuwafanyisha interview wanaotaka kuoana yaani kama hali ni hii hata bint akikubali maana yake ndoa haidumu!!!!
 
Hahahaaaaaaa.....!! Yan nilikuwa cjacheka kwa masaa mengi sana, sasa nimepitia coments zote mbavu zangu zote zikaachana yn nimeunga upya! Mh iki kijiwe ni hatareeeeee,
 
Ungeandika kiswahili tu mkuu au hujui sana kiswahili

jf na kuponda kwan hajaeleweka wap? ulitaka aweke misamiati ndo uanze kumponda eti anajidai katumia simple english kias kwamba yeyote ataelewa
 
Utakuwa bahili,mpe pesa uone kasheshe
 
mrsleo

thanx for ur advice
 
Last edited by a moderator:
thanx for ur advice

Ukisikiliza yote ya humu u are doomed.

Simple way is to tell your fiance the way you feel- exactly the way you have written here and listen her views from there; it could be

1) she doesnt see any future with u ---mapenzi sio kusema i love u kila saa, una mipango nae , if yes mmediscuss, je do u listen to her views in your future planning
2) you seem boring and the only way is to tolerate her
3) she has her own issues which can be sorted out by clear communication between you two
 
You know the girl is in someone heart due to that try to take her from where she is,therefor she will never annoy you again.
 
Demu anaonekana hakupendi wewe tu unamlazimisha. Na kwa ishara tu inaonekana she is tired of you sasa nashindwa kukwambia maana utamuelewa vibaya, lakini kingine inaonyesha ameshampata anayempenda.
USHAURI: usijipotezee muda kwa huyo demu maana si wako tena.
ONYO: Englisha yako sio nzuri hukupawa ajianike hapa na sisi tukujue kuwa hujui kidhungu na yumkini ndo kilichomkwaza huyo demu wako
PONGEZI: Una mapenzi ya kweli.
 
''I cannot spend even a single second without her.''

Hapa ndipo 'ujinga' wako ulipolala.....Samahani nimetumia neno ''ujinga'' kwa sababu ujinga unaweza kuondolewa baada ya kuelimishwa.

Hizo ndio type za watu wanaojinyonga kwa ajili ya mapenzi.

Umeuliza unachotakiwa kufanya, fanya kifuatacho Achana naye maana labda anashindwa tu kukwambia kuwa kuna jamaa huko anayempa hivyo unavyovikosa....attention na hizo blah blah nyingine.

Una miaka mingapi vile?
 
wewe u got to be kidding me u cnt spend even a second without her! yaani wee kidume umlilie mwanamke...acha uzembe mwanamke ni wakugegeda na ata siku moja hatakiwi kukutawala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom