Giggy Money aja na SUPU

Giggy Money aja na SUPU

aibu kubwa!.Jaman watu wanaohusika na maadili nchini huyu awekwe gerezani tu! hakuna namna! khaaaaa
Umesema kweli, ndie aliyesabababisha nikafuta Akaunti yangu ya Instagram kwa huo upumbavu wake sijui wa Supu wengine wanauza magengeni yy anauza ndani ga nyumba hiyo ni Pusu sio supu!
 
Umesema kweli, ndie aliyesabababisha nikafuta Akaunti yangu ya Instagram kwa huo upumbavu wake sijui wa Supu wengine wanauza magengeni yy anauza ndani ga nyumba hiyo ni Pusu sio supu!
Alikufollow au ulimfollow kwa hiyari yako?
Live your life
 
Kwani huyo binti ni MSANII?????????//
1470244451972.jpg

......wa maisha
 
Alikufollow au ulimfollow kwa hiyari yako?
Live your life
Alinifollow yeye nikamua kumunfollow pamoja na watu watu wengine wote nikabiza nilifollow me watu 25!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom