Gia kuwa ngumu kwenye subaru forester 2010

leontiff

Member
Jan 14, 2016
95
94
Habari za asubuhi naomba msaada napata shida kuingiza gia gari nalotumia ni subaru SHJ 2010 forester
Nimeangalia transmission fluid iko sawa
 
Ni automatic transmission nitaka kuondoa gari kutoka kwenye parking kuja kwenye drive ndo napata tatizo kama nilivyoeleza hapo juu
 
Kanyaga sana Bleki. Otherwise mpelekee fundi. ATF haiusiki hapo.
 
Back
Top Bottom