LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,699
Ghosting is an act of ending a personal relationship with a lover or partner without any apparent warning or prior notice.
It is normally characterised with stopping all kind of communication with an intended person. This may include changing ur numbers or never respond to his or her calls. However it does not include blocking that person from ur communications.
The idea is just to leave a person without telling them that u have left them and without giving them the reason as to why u have left them.
Ghosting ni kitendo cha kumuacha mpenzi bila kumtaarifu kuwa umemuacha. U don't need to tell him/her kwanini umemuacha kwa sababu lengo lako ni kumuacha bila yeye kujua kwamba umemuacha.
Mara nyingi tendo hili huwa linaambatana na vitendo kama kutokupokea simu ya mhusika, kutokujibu meseji zake Kwenye simu na mitandao ya kijamii pamoja na kubadilisha namba za simu.
Haishauriwi kumblock either Kwenye simu au social media kwa sababu ukimblock anaweza kung'amua mapema kwamba tayari umemuacha ilihali lengo lako wewe ni kumuacha bila yeye kujua kama umemuacha wala kumpa sababu kwanini umemuacha.
Wataalamu wa Saikolojia wanasema ghosting is the most cruel thing to do to ur lover. Ni jambo linalo mtweza sana mtu na kumpa jakamoyo la kutisha.
Tatizo haswa huwa linakuwa sio kuachwa but staili iliyo tumika kuachwa.
Watu wengi wanaokuwa ghosted huwa wanaishi na trauma ya kuwa ghosted kwa muda mrefu sana. Pia huwachukua muda mrefu sana kuingia katika mahusiano mapya.
Tafiti zinaonyesha pia mauaji mengi yasababishwayo na wivu katika mapenzi huwa yanatokea baada ya wapenzi kuachana. Kati ya hayo, idadi kubwa ni yale ambayo mtu kamuacha mpenzi wake kwa njia ya ghosting.
Fikiria upo na mpenzi wako wa muda mrefu. Uhusiano wenu umefikia katika uchumba kisha ghafla ana ku ghost only for you to learn after sometimes that they are getting married to another persons. Ni jambo ambalo watu wengi hawana uwezo wa kuli handle.
Ghosting is not limited only to lovers . A person can ghost his friends ( normally bad friends) or even a family.
Have u ever been ghosted? Have u ghosted a person ? Tell us ur experience.