Ghorofa linatitia, mbuyu unakaribia kuanguka

Kama amepigwa ban, Hvi akitaka kuongeza makalio ataenda wapi?
 
Aliyesema kura zipigwe na zihesabiwe kwa uwazi ni nani kama siyo yeye Magufuli?
Hajasema yeye,katumwa na Chama akaseme....Chama sio chake,yeye ni kapewa dhamana ndani ya chama,ila uamuzi wa kura za wazi umeamuliwa na vikao halali na yeye kutumwa kusema...

Acha kumgeuza Mungu!
Ina maana alijua kuwa kuna uwezekano anaotaka wasipite na alikuwa tayari kwa hilo?
Hakujua lolote..ni clueless kama clueless wengine!
Aliyesema kwamba watu awaridhiki ni nani? Si yeye?
Yeye hajasema lolote la maana worth discussing here!

Kama wewe unaona ni sawa ni haki yako,mimi naona hana any worthy weight or anything.

Si yeye wala hawezi kua yeye.
ometimes watu mnafurahisha sana kila linalotokea mnpinga au kushangilia.
CCM kama taasisi na uamuzi wa vikao vimeamua mchakato uwe wazi basi mawe kageuka Mungu?

Yeye alikua mmojawapo wa wahudhuriaji wa vikao vilivyotoa huo uamuzi, na wala haujatoka kwake,100% hilo pendekezo limetoka kwa wengine na sio yeye.

Huna proof ya chochote na mimi sina proof ya chochote!

Who cares what you or me think about anything?

Nobody
 
Kasema yeye kama ulitazama siku wanapiga kura Dodoma ungeona maana utaratibu waliokuwa wameweka aliuondoa unless una lengo tu la kupinga.
Na kama unasema CCM ni taasisi maamuzi hayawezi fanywa na Magufuli peke yake, sasa iweje uwaze kuwa ataweza mrudisha Makonda kwa maamuzi yake? Kwanini usiwaze akirudi yatakuwa ni maamuzi ya CCM kama taasisi siyo Magufuli? Hueleweki sasa
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nataka niwaambie
Hakika mfalme wetu sio mjinga, kwa maana mtu mjinga hawezi kuwa mfalme , ila kuna mtu anajijingisha ili aendane sawa na wale wajinga ilihali yeye kama yeye anajua anachokifanya,

Waliohama cha walilipwa pesa yao stahiki ya miaka mitano mbele ya kuwa kuleeee idodomia kwa maana hiyi awe au asiwe pesa amelipwa, mfano leo tunamfuata kagele tunamwambia vunja mkataba huko ulipo uje huku cc tunakulipa pesa yak ya huo mkataba wanaotaka kukupa na posho na kila kitu akivunja kule mkataba akaja huku kwetu hatumpia namba yeye anakuwa yupo yupo tu,lkn pesa amelipwa kwa hiyo akichesa asipocheza hata shida huyu ,hii ndio njia iliotumiwa kuwaondoa wale ambao wao walikuwa wanayaitaj Yale maeneo japo kwingine watu wamekataa kununulika,
 
Halafu bado unadiriki kushiriki..dah..unapata ujumbe gani hapa?

Waunga juhudi:

Kafulila chalii
Mtolea chalii
Lijuakali chaliii
Silinde Chalii
Katambi Chalii
Albert Msando chalii
Jushua Nasari Chalii
Patrobas Katambi chalii
Waitara chalii
Safi sana.
 
Katumwa kusema...

Elewa kusema on your own behalf na kusema kwa kutumwa!

Yeye katumwa na kamati kuu kuongea...

Know the difference!
 
Kupita kwa Gambo na Ndungulile kwenye uchaguzi wa awali wa majimbo husika ni ujumbe tosha kabisa kwa viongozi wa CCM kuwa hawa watu bado ni vipenzi vya wana-CCM na labda hata kutumbuliwa kwao hakukuwafurahisha wana-CCM.
Point made and massage delivered.
 
huko CDM mnaendeleaje...mwenyekiti amepona au ndio hayanihusu
 
Siasa zinaenda na wakati.
Kila zama na matukio yake.
Hazami mtu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…