Aliyesema kura zipigwe na zihesabiwe kwa uwazi ni nani kama siyo yeye Magufuli? Ina maana alijua kuwa kuna uwezekano anaotaka wasipite na alikuwa tayari kwa hilo?Kuna ANTI MAGUFULI sentiments zinatoka kwa wananchi towards Magufuli and his minions!
Kuna hasira ipo ndani kwa ndani
Trust me,Magufuli atakuja kuelewa vizuri kabisa anachodhani kua atashinda kama anavyodhani si kweli
Sanduku la kura ndio atajua maana yake ni nini!
Na ule ujanja wa eti kwavile mimi namiliki serikali sijui nitalazimisha,sio rahisi kama anavyodhani!
Ni even harder to do that!
Ngoja wananchi tuwafundishe hawa maana ya siasa ni nini na nguvu ya kura ya mwananchi ni nini!
Watch this space.
Mwikabe, Lijualikali, Nasari, mna hali yani?
ππππHakijambo m-bwawe mna kisokela vidala
Kumbe ww ni kijani.Akili zakipinzani bhana! Wao hawaoni yakwao yanatitia!
ππKumbe ww ni kijani.
Chaliiiiiii ndembe ndembe kifo cha mendeMwikabe, Lijualikali, Nasari, mna hali yani?
Hembu mjaribu hata punde kura kuanzia za urais ubunge udiwani zihesabiwe kwa uwazi kama mnavyofanya sasa muione shooAmini usiamini mchakato unaendelea sasa hivi umeihuisha CCM na kuwa imara sana. Tukubali CCM ni chama imara sasa hivi na kimeona mbali kwamba ili kuondoa mpasuko na kuondoa uhalali wa mtu kalalamika kwamba kachezewe mchezo mchafu wameacha mambo yajiongoze yenyewe. Vinginevyo CCM ingelichafuka vibaya sana na kupelekea kupasuka. Mtu yoyote atakayeona hakutendewa haki katika mchakato ulivyofanyika atakuwa ana lake jambo.
Mimi ni colourless.[emoji23][emoji23]
Mi nipo rangi yako mama..
Nipo humohumo..πMimi ni colourless.
Kwa uelewa unadhani lini upinzani uliwahi kushinda kwenye urais? Au unataka kusema mwaka 2015 ukawa walishinda uraisi?Hembu mjaribu hata punde kura kuanzia za urais ubunge udiwani zihesabiwe kwa uwazi kama mnavyofanya sasa muione shoo
Ndembe ndembeMwikabe, Lijualikali, Nasari, mna hali yani?
ππππNdembe ndembe