No doubt , hili ndo lenyewe.Haya endelea kujivunia kuwa na Mawaziri matajiri
Hivi hili ghorofa la Membe na lile la Ezekiel Maige lipi kubwa?
Ngoja tulete vielelezo kuwa sio hela ya mkopoMbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.
Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Huyu Membe hiyo ni hotel yake kweli. na ana nyingine iko karibu na standa ya mabasi Mtwara inaitwa NAF BLUEVIEW
Pia pale Lindi anataka kumpora mzee mmoja ile Lindi Oceanic hotel ambayo mzee huyo alinunua kwenye mnada kihalali uliofanywa kwa niaba ya CRDB.
Naogopa hata kumuita Mheshimiwa maana matendo yake huku kusini wala hayafanani na cheo chake. Nasubiri M4C waje kusini niwauzie hili gazeti

Sawa Wassira hako ni 'kaghorofa' 2. Lakini unavyodai kuna mikopo je mtanzania yeyote anaweza kopa akajenga hako 'kaghorofa'?Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.
Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Nitaamini vipi kuwa ghorofa hilo ni la Membe?
Tubandikie basi official search kutoka ardhi kuonyesha mmiliki wa kiwanja hicho
Hadi hapo limegharimu kiasi gani?
Hivi hamkumbuki kwamba Membe huwa anaongozana na Rais kwenye ziara zake za nje ya nchi? Tunajua mapato yake? Limejengwa kwa muda gani?
Tukijua hayo tuaweza kutoa maoni/hukumu.