Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

Siogopi Mkuu.
Ishu ni kuwa pisikali nyingi za kibongo ni marufuku kuziambia maneno ya karaha kama hayoπŸ˜‚
 
Wakuu sio kuremba tu geto lako fanya uwe na maisha binti zako wasijebabaisha na visent na vigeto uchwara visivyoeleweka
 
Wapi nimesema kila Mwanamke Tapeli?
Wanawake wenye Akili zao ndio wanajua ninazungumzia nini.
Matapeli na wanyonyaji lazima wanione nimepinda
Wewe kila siku topics ni hizi hizi za kuponda wanawake,utasema unachukulia wanawake in postive way??? kila mtu anajua unachukulia wanawake kama matapeli wanyonyaji, wanawake wenye akili zao wewe huwajui,hawajawahi kukusogelea....upo tu
 
Sawasawa!
Acha wanione hivyohivyo.

Matapeli hawawezi kusogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…